Lugha gani unapoteza muda wako bure. Tanzania ni kubwa kuliko individuals wachache wenye agenda za kutisha
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Umechukiwa na nani??majitu maovu yanaishi kwa hofu sanaAcheni chuki jamani
Nazi ideology muone aveta yake ila poaa haki ikujeYaani huwa najiuliza kuna sababu gani kwenye nchi yetu kuwa na Mahakama kama zinaonekana hazitendi haki? Maana kuna ule msemo usemao " si tu haki itendeke bali pia ionekane inatendeka". Sasa watu wamo ndani bila ya dhamana na kesi haiendeshwi lakini mahakama iko kimya.
Tunajua kwamba tuna Kaimu Jaji lakini sidhani kama pia tuna Kaimu Mahakama!
Lowasa hajaitwa kwa DCI kwajili ya mashekh
Ni kweli kitendo cha kuwatia kizuizini miaka na miaka bila mashitaka mashehe wa Zanzibar wasiotaka Muungano ni kitendo cha kionevu na kifashisti. Wengine tunakubaliana kabisa na Edward Lowassa, tunakemea na kulaani kurudi kwa political prisoners ambao walishatoka magerezani toka JKN anatoka madarakani miaka ya 80.
Lakini katika kutetea mashehe hao, Lowassa amevuka mipaka kwa kiasi cha kutisha. Lowassa ameombea zirudi siku zile za taharuki za siasa za kidini zilizokuwepo enzi za Ally Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, mpaka ikafikia kudhibiti hali ile kwa kutumia watu wa usalama na askari wenye mbwa kuingia misikitini kusikiliza mawaidha na kukamata watu. Lowassa anataka misikiti na mashehe radical and firebrand wa enzi zile warudi kwa sababu misikiti siku hizi imekuwa baridi.
Lakini uchochezi wa kijahili na mbaya kuliko wote ambao usingeutegemea kutoka kwa Edward Lowassa ni pale aliposema WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA.
Lugha ya Waislamu ambayo serikali itailewa ni ipi, kujilipua? Muhimu tukumbuke hapa pakiwaka hapa sio wewe wala mimi wala Lowassa wala Magufuli wala Shehe wala Kadinari wala polisi wala majeshi yeyote atakaekuwa na hakika ya kubaki salama.
Kumbe mafunzo ya ccm ya Mwalimu Nyerere yalikuwa kushabikia Masheikh kuweka gerezani miaka minne bila kuhukumiwa na mahakama? Je hilo linaweza kufanyika kwa Cadinali Pengo au Askofu Kilaini? Kama tutaendelea kushabikia injustices hatutaiponya hii nchiBinafsi sikutegemea mtu aliyefunzwa siasa na CCM ile ya Mwalimu asimame hadharani kuongea maneno yale ...hii ni ya kukemewa na kila mtu bila unafiki ....Lowasa angeacha akina Mwita waseme hayo ....si yeye ....kama Lowasa anaweza kuongea hayo inabidi tuwahoji CCM wamepanda nini kichwani mwa watawala wetu ambacho kina faida kwa Taifa ....tulifikiri CCM imezaa mafisadi tu ....kumbe ni zaidi ya mafisadi ....JPM anayo kazi kubwa sana kama kweli dhamira yake ni ya dhati ....
kama haya ni mawazo yako wawahi haraka kukukamata wakupeleke milembeKama kweli Lowassa aliongea hivyo mbona walichelewa sana kumkamata huyu mtu!
Hivi tatizo ni Lowasa kuwaambia Waislamu 'kuanza kuongea lugha ambayo serikali inaielewa' ndio mnaanza kujaribu kumhusisha na kushindwa kwa polisi na vyombo vya usalama kutegua kitendawili cha Kibiti? Hebu msidhalilishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, tunaviamini sana!Kuna mambo yanaleta ukakasi.
Mashehe wa Zanzibar walikamatwa wakati wa Rais Kikwete, Lowassa hakusema chochote, na kipindi hicho Tanzania haikuwa na tatizo la Kibiti. Watu zaidi ya 30 wameuwawa katika mazingira ya kutatanisha, halafu anaibuka Lowassa ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu anawakusanya Waislam nyumbani kwake na kuwaambia "WAISLAMU SASA WAANZE KUONGEA LUGHA AMBAYO SERIKALI INAIELEWA". Lowassa anakwenda mbele zaidi na kuwakumbusha namna 'watu walivyotumia dini kuleta machafuko wakati wa Rais Mwinyi.
Maswali ya kujiuliza,
1. Mbali na maagizo aliyotoa hadharani, Lowassa amekuwa anafanya nini nyuma ya pazia?
2. Lowassa anajua nini kuhusu Kibiti?
3. Lowassa ana maana gani anapoagiza waislam waongee 'lugha ambayo serikali inaielewa? Hiyo lugha ikoje?
4. Ni kwanini ametolea mfano wa mchafuko ya kidini wakati wa Mzee Mwinyi?
5. 'Shehe' ambaye amekuwa anafuatana na Lowassa kila mahali (hata leo alikuwa naye) ni kwa ajili ya maombi au ndiye msimamizi mkuu wa 'lugha' ambayo Lowassa anataka waislam waitumie.
Kuna tatizo kubwa.
Hata MEMKWA umeshindwa kujiunga?Lowasa hajaitwa kwa DCI kwajili ya mashekh
Wqngapi wqmetamka Maneno yaashekh wacjiwe huru Na hawajafikishwa hata mahakamani wala police ije kuwa lowasa
Lowasa kahojia kuhusu rechmond sio lingine
Wewe kule jela umewaona waislam tu ndio wa kuwasemea. Wengine ambao wana matatizo yanayofanana na sio waislam watasemewa na nani unadhani. Ni uhuni tu wa kisiasa hapa. Serikali ichukue hatua hatuwez kubali matamshi ya kipumbaf ambayo yanaweza letea taifa letu machafuko ambayo hayatakuwa na mwisho. Hakuna atakayepona katika issue hii nawaambiaKaongea mambo mengi, ni lipi hasa unaona kaongea na kusababisha kukamatwa kwake?
Lowasa hajaitwa kwa DCI kwajili ya mashekh
Wqngapi wqmetamka Maneno yaashekh wacjiwe huru Na hawajafikishwa hata mahakamani wala police ije kuwa lowasa
Lowasa kahojia kuhusu rechmond sio lingine
Ngoja huyo Lowasa wako abinywe kwanza ndio utaelewa.Kuwa moto ndiyo kukoje?