Jaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa Sana anatia huruma...bas Tu
Video sekunde 16
View attachment 1321554
Jaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa Sana anatia huruma...bas Tu
Video sekunde 16
View attachment 1321554
Hakuna anayeeteseka wala aliyeonewa KILA MTU A VUNE ALICHOPANDA, sasa kufuga hiyo mindevu na miwani mikubwa kama comedian ndo tumuonee huruma potelea mbaliJaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa Sana anatia huruma...bas Tu
Video sekunde 16
View attachment 1321554
Labda alishalipwa ujira wake,anakula wine tu huko mtaani.Sijui Pascal Mayalla akimuona hivyo anajisikiaje...
Btw, karma is bitch...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwani Kabendera alipanda nini na anavuna nini?KILA MTU AVUNE ALICHOPANDA,
Magereza siyo pazuri
Magereza siyo pazuri
Kwa ivo angeuawa kwako ingekuwa sawa tu?Tena aombe sana Mungu bado yupo hai,
Kwani anashitakiwa kwa kutakatisha fedha ama kuandika makala dhidi ya Magu? Halafu Magu ana mamlaka ya kusamehe watu ambao kesi zao bado zinaendelea mahakamani?Kutoka kwenye hekalu Mbweni mpaka kwenye Cell Segerea.Na Magu alimpania hatoki humo. Kila Magu akitaka kumsamehe...
Wewe ukweli unaujua?Kuna watu wanamlaumu ndugu pasco humu, hivi mnaweza kuthibitisha madai yenu? au ndio ule unafiki wa wabongo kwamba kila wanachosikia hawachuji kujua ukweli!