Hivi we Mwanakijiji ni mzee kweli?? hebu tuwekee lirics kwanza ndo tujadili mengine...
Mimi si support Kiwete au Siraha, wote ni miyeyusho tu kwangu. Especially kwa sababu Siraha kashapewa nafasi na kajionyesha kumbe mtu wa kujali bupe kuliko public service.
Ataweza kazi kweli huyu? Whats the point of taking the change of doing a whole regime change only to replace one fisadi with another ?
Yaani tunasahau kuwa uadilifu unaanzia katika maisha binafsi???!!!!!!!. Labda kama tumeamua kukubali kuwa jamii yetu imeoza kiasi kwamba kiwango chetu cha uadilifu sasa kimeshuka kiasi kwamba mtu anayezini na mke wa mtu mwingine bado tunaweza kumuhesabu ni muadilifu anayefaa kuliongoza taifa hili. Hebu angalia hapo kwa waingereza tu John Terry alizini na mwanamke aliyeachika lakini ilikuwa ni kimbembe kiasi cha kuvuliwa unahodha.....Sisi leo hii tunataka kuhalalisha kuwa na marais wazinzi!!!!! Na hapa nina maana yeyote yule awe ni Slaa au Kikwete kama ni wazinzi hawatufai hata kidogo.Ndoa ya Slaa ndiyo imeleta matatizo ya wa TZ kama kudorora kwa uchumi wetu,wachache kugawana mali asili zetu,ukosefu wa huduma za msingi za jamii,kukithiri kwa rushwa na mengineyo mengi yanayofanya"life expetency"ya MTZ izidi kushuka siku hadi siku?
Kiranga naamini by now ulisha make up your mind utamchagua nani.Kama tunaangalia swala la ndoa, mimi ni bora nimchague mtu ambaye hajaoa (na hakai kunyumba na mke wa mtu) kuwa rais kuliko kumchagua mtu anayekaa na mke wa mtu kindoa, bila mke huyo wa mtu kupata talaka rasmi.
Huu ushabiki unatupeleka pabaya, let's be serious!!
Tatizo kubwa lililoifikisha nchi hii hapa ilipo ni kulindana na kuwaabudu viongozi ata pale ambapo makosa yao yapo dhahiri.
Nasikitika kuwa katika karne ya 21 bado watanzania wanaelekea kwenye njia hiyo ya ujima.
unapinga wenzako kuwa wanajichanganya na kisha unakuja na maswali kibao ambayo unataka majibu toka kwa wataalamu wa sheria. Kwa nini usipate majibu ya maswali hayo kabla ya kuja kuonesha utupu wako hapa?
hapo ndipo nasema huyu jamaa angemshtaki Josephine halafu tungeona yaliyofichika. Huyu jamaa anajua fika kwamba Kumshtaki Josephine haiwezekani kwa sababu target yao ni Dr. Slaa ili kuonyesha bibie ni victim of circumstance.. alihadaika na Dr - unakumbuka jamaa kasema mwanamke alisema anaondoka ktk kibanda chake anakwenda kuishi ktk nyumba!!?.. hii yote picha imechorwa tayari.... isitokee tu huyu bibie naye akubali kwamba Dr. Slaa alimhadaa hadi kufikia kufanya maamuzi kinyume cha ndoa yake. hapo mkuu wangu itakuwa kibano - dr chupi itambana.
WAKUU,Yaani tunasahau kuwa uadilifu unaanzia katika maisha binafsi???!!!!!!!. Labda kama tumeamua kukubali kuwa jamii yetu imeoza kiasi kwamba kiwango chetu cha uadilifu sasa kimeshuka kiasi kwamba mtu anayezini na mke wa mtu mwingine bado tunaweza kumuhesabu ni muadilifu anayefaa kuliongoza taifa hili. Hebu angalia hapo kwa waingereza tu John Terry alizini na mwanamke aliyeachika lakini ilikuwa ni kimbembe kiasi cha kuvuliwa unahodha.....Sisi leo hii tunataka kuhalalisha kuwa na marais wazinzi!!!!! Na hapa nina maana yeyote yule awe ni Slaa au Kikwete kama ni wazinzi hawatufai hata kidogo.
Sasa kama slaa anaweza kuamua kukaa na mke wa mtu kwa sababu tu dhamira yake imemtuma hivyo huku akijua si jambo zuri kimaadili ni mangapi anaweza akafanya atakapokuwa na mamlaka ya uraisi kwa sababu tu dhamira yake itamtuma kufanya hivyo. Btw it is very business of ours kama huyu mtu anataka kuwa raisi wetu.Japo huwezi kuona tatizo la kulinganisha nilichosema mimi na hawa kuwa ni unnecessarily reckless utatafuta namna ya kuhalalisha kwanini unafikiria nimefanya spin.
Hapa tunatofautiana kwa sababu dhamira ya mtu ni kuu kuliko. Kama huyo mama alijijua kuwa bado ni mke wa mtu na akaamua kumuacha mume wake na akamfuata mtu ambaye naye alikubali moyo wake wewe na mimi ni nani kucondemn kitendo ambacho kimetokana na dhamira na kiko katika suala la binafsi? Hawa ni watu wazima na wamefanya maamuzi yao wao wenyewe na it is none of your business, na wala siyo ya CCM wala mtu mwingine yoyote. Mtu mwenye hoja hapo ni mume wa huyo mama na peke yake anatakiwa kucondemn au kugombania mke wake arudi (siyo arudishwe kwani hajatekwa).
Jamani kwenye ufunguzi wa kampeni za chadema Dr Slaa alimtambulisha Joshiphine kuwa ni Mke wake hata TBC jana kwenye taarifa ya habari wameonyesha tena