Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,289
Nchi ile anayotoka Lizaboni, maandamo yenye amani ni yale ya CCM tu.Hayo sio maandamano ya kisiasa ! Ni maandamano ya kampeni za mambo ya mazingira kuhamasisha binadamu kuheshimu mazingira!! Ya kisiasa hata Kwa wenzetu ni shughuli pevu
Yaan uandamane umpinge raisi? Ha ha ha yule mpenda sifa atawanyonga wote. Ww ona zanzibar kwa Maalim Seif alichojibu