Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,908
- 9,466
Kwahiyo anafanyiwa hivyo huku cameraman anamrecord!! Huyu jamaa ana matatizo kichwani. Yaani unaonesha wanaume wenzio (competitors/rivals) juu ya utamu/ufundi wa mkeo,wakija kumuibia asianze kutafuta huruma ya jamii katk mitandao