Mbona wazee wa escrow na wa uhamsho wamekaa miaka 9 kwa uonevu.Mwaka mmoja tu huo mnaanza kulia lia?Walizitunga sheria za uhujumu uchumi ili kukomoa wapjnzani.
Sasa imekula mtu wao.
Kukaa na mtu mahubusu Mwaka mzima then baadae i akjja kusemekana hana kesi ya kujibu ni uonevu mkubwa sana.
Hawa majaji, mahakimu, mawakili na waendesha mashtaka inaonekana hawajali haki za watu.
Sabaya hata kama ana makosa kumzungusha mwaka mzima kila siku upelelezi bado wanamuonea.
Wanalipwa fedha nyingi sana.Manjeree wakalie nje
Na wao walionewa inapaswa kukomeshwa isiendelee hali hiiMbona wazee wa escrow na wa uhamsho wamekaa miaka 9 kwa uonevu.Mwaka mmojahuo mnaanza kulia lia?
Haya maneno na majibu yake ilikuwa akiwa bado ofisini. Mbona hakukana zaidi ya kuonyesha kiburi?Mi sijawah kukutanae ila wapo ambao wakiishi jiran naye anapoishi nao walinibia hawajahi kuona akimuonea mtu wala haya yanayoelezwa kubaka sijui, au kukata masikia ndiyo kwanza wanayasikia.
Wameshika mpini.Hakimu,DPP analala kwake na familia yake hawezi kaa jela SAsa akuhangaikie wewe usipotezewe mda wako kwani we ndugu yake.?Na wao walionewa inapaswa kukomeshwa isiendelee hali hii
Mchuma janga hulia na wakwao..Huyu jamaa alitesa sana watu.
Sasa hivi na yeye anateseka, he found karma very early.
Tujifunze kutenda Mema!!View attachment 2355918
Sasa mimi nimeshakutana nae, naelewa namna alivyokuwa anawafanyia watu Ukatili.Mi sijawah kukutanae ila wapo ambao wakiishi jiran naye anapoishi nao walinibia hawajahi kuona akimuonea mtu wala haya yanayoelezwa kubaka sijui, au kukata masikia ndiyo kwanza wanayasikia.
Nawe unanisimulia tu kama walivyonisumilia waliokutananae pia na hawakuona ukatiliSasa mimi nimeshakutana nae, naelewa namna alivyokuwa anawafanyia watu Ukatili.
Sasa analia!Alijaa Dharau sana huyu Mwamba!!
Stupid, Mbowe alimuonea Nani?Mbowe alipokaa miezi 8 jela alikuwa anavuna alichopanda kumbe