Video: Ole Sabaya, Anavuna alichopanda Mapema!

Sabaya vumilia ni muda mchache tu Mwenye Enzi Mungu atakuinua tena maana hayo ni mapito ya binadamu!
Msifu Mwenye Enzi Mungu kwa yote!
Iko siku utakuwa huru tena na utanyanyuliwa na kuwa juu tena walahi nasema!
Kuna ule uwimbo unao sema “usifurahi juu yangu maana niangukapo mimi nitasimama tena”
Pole sana na uwe na afya na uzima!
Ulikuwa jambazi mwenzake wewe, kabla hajainuliwa na wewe utakuwa sero

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sabaya hajafungwa mzee ila yupo mahabusu, Kesi yake haina dhamana tu hicho ndo kinafanya asiwe uraiani kumbuka kesi za mwanzo alishashinda ila DPP akaona amuundie nyingine Moshi ndo maana mpaka leo yupo ndani na wenzake watatu juzi wamekiri makosa wakaenda kupri bergain na DPP wakalipa Milion mona na elfu hamsini wakaachiwa huru ila Sabaya hajakiri makosa na wala hajaenda kupre bergain ila anaamini hakuna kesi atakuwa na hatia na ndiyo maana upande wa mashtaka mpaka leo wanachelewadha tu kesi kuwa upelelezi haujakamilika.

Sabaya akikiri makosa atakuwa amepoteaa vingi, atakuwa hafai tena kuwa mtumishi wa uuma, atakosa mengi na ndiyo maana nakuambia CV yake itachafuka na ndiyo maana kabaki pekee huko mahabusu kwenye ile kesi anakomaa nayo,. Labda achoke tu ila naye ana mdoto ila kiukweli upande wa mashtaka hawana ushahidi wowote pale zaidi kumnyima tu haki zake na kumtesa kisaikolojia kwasasa maana kumfunga ishakuwa ngumu tena.
Huelewi kilicho nyuma ya pazia. Subiri wakati wa usikilizaji wa kesi zijazo, utakapowaona wale waliokiri makosa wakiwa mashahidi muhimu dhidi ya uovu wa Sabaya.

Kesi ile ya mwanzo, nayo haijaisha. DPP alikata rufaa. Na bado ana kesi nyingine. Hii siyo ya mwisho.

Mtoto/kijana aliyempigilia misumari yupo. Mama aliyemkata masikio yupo. Watu aliowapora pesa zao, wapo. Hivi huyu ni wa kuonewa huruma? Huruma na msamaha angeweza kuupata endapo angeujutia uovu wake na kisha kuomba msamaha wa dhati. Lakini kwa sababu ameshupaza shingo, si ajabu maisha yake yatakuwa ni mahabusu za magerezani na mahakamani.

Apandacho mtu ndicho avunacho. Wanaopewa nafasi za uongozi, wamepata nafasi ya kujifunza kutokana na maisha ya Sabaya.
 
Umeamua kufanya kwa mhemuko tu.
Jamaa was a real destroyer.
Nishakutana nae
 
Na Bado wale Matajiri aliowaonea sana Wapo na Bado ni matajiri.
 
Wewe ni mmoja wenye hasira dhidi ya sabaya mliolishwa maneno matupu labda nikuambie wewe ndiyo hujui unachoongea mkuu
 
Umeamua kufanya kwa mhemuko tu.
Jamaa was a real destroyer.
Nishakutana nae
Mi sijawah kukutanae ila wapo ambao wakiishi jiran naye anapoishi nao walinibia hawajahi kuona akimuonea mtu wala haya yanayoelezwa kubaka sijui, au kukata masikia ndiyo kwanza wanayasikia.
 
Mkata masikio ya watu, mporaji wa mali za watu, mpigiliaji wa misumari miguu ya watu, atanyanyuliwa kwenda wapi? Huyu amebeba laana kuu.

Anachotakiwa ni kukiri uovu wake, kuujutia, kuwaomba msamaha aliowadhulumu, kisha kufanya toba ya kweli, ndipo apokee msamaha wa Mwenyezi Mungu.
Yeye amekomaa mahakamani akidhani watu hawajui alichofanya.

Vyombo vya usalama vilikuwa vinamuona
 
Wenzake wameachiwa mara baada ya kukiri makosa na wakaenda kupatana na DPP, kwakuwa makosa ni uhujumu uchumi wakalipa Tsh 1,050,000/= ila Sabaya ye bado anakana mashtaka.

Msingi wa hawa kukubali ili wawe huru mambo yaishe waendelee na maisha yao, msingi wa Sabaya kukaa ni utumishi wake na nsoto bado za kuwa mtumishi wa umma, unafikiri anashindwa kulipa one million? Nop hashindwi ata kdgo.
Sio kila aina ya makosa ya uhujumu uchumi ukikiri ni faini tuu, yapo yanayo ambatana na kifungo ndio maana Sabaya anaogopa kukiri maana mashtaka yake yako zaidi ya wengine.
 
Sabaya hajafungwa mzee ila yupo mahabusu, Kesi yake haina dhamana tu hicho ndo kinafanya asiwe uraiani kumbuka kesi za mwanzo alishashinda ila DPP akaona amuundie nyingine Moshi ndo maana mpaka leo yupo ndani na wenzake watatu juzi wamekiri makosa wakaenda kupri bergain na DPP wakalipa Milion mona na elfu hamsini wakaachiwa huru ila Sabaya hajakiri makosa na wala hajaenda kupre bergain ila anaamini hakuna kesi atakuwa na hatia na ndiyo maana upande wa mashtaka mpaka leo wanachelewadha tu kesi kuwa upelelezi haujakamilika.

Sabaya akikiri makosa atakuwa amepoteaa vingi, atakuwa hafai tena kuwa mtumishi wa uuma, atakosa mengi na ndiyo maana nakuambia CV yake itachafuka na ndiyo maana kabaki pekee huko mahabusu kwenye ile kesi anakomaa nayo,. Labda achoke tu ila naye ana mdoto ila kiukweli upande wa mashtaka hawana ushahidi wowote pale zaidi kumnyima tu haki zake na kumtesa kisaikolojia kwasasa maana kumfunga ishakuwa ngumu tena.
Unashangaa kuambiwa upelelezi haujakamilika hivyo unadhani wanamkomoa? Fanya uchunguzi magereza ukutane na kesi ambazo zina miaka miwili au mitatu bado uchunguzi haujakamilika ndio utaelewa ni mfumo mbovu tuu wa vyombo vyetu.
Lakini Sabaya ana kesi na ni nyingi mno. Usishangae akimaliza hii ukasikia Dar na Mwanza pia. Infact jamaa ni totally Jambazi
 
Sawa ngoja tusubiri maana issue sio kufungulia mashtaka ila issue kukutwa na hatia
 
Unashangaa kuambiwa upelelezi haujakamilika hivyo unadhani wanamkomoa? Fanya uchunguzi magereza ukutane na kesi ambazo zina miaka miwili au mitatu bado uchunguzi haujakamilika ndio utaelewa ni mfumo mbovu tuu wa vyombo vyetu.
Lakini Sabaya ana kesi na ni nyingi mno. Usishangae akimaliza hii ukasikia Dar na Mwanza pia. Infact jamaa ni totally Jambazi
Walizitunga sheria za uhujumu uchumi ili kukomoa wapjnzani.

Sasa imekula mtu wao.
Kukaa na mtu mahubusu Mwaka mzima then baadae i akjja kusemekana hana kesi ya kujibu ni uonevu mkubwa sana.

Hawa majaji, mahakimu, mawakili na waendesha mashtaka inaonekana hawajali haki za watu.

Sabaya hata kama ana makosa kumzungusha mwaka mzima kila siku upelelezi bado wanamuonea.
 
Back
Top Bottom