Yaani morani kabisa ambae alitahiriwa bila ganzi na ni marufuku kulia leo hii atoe chozi kumlilia mwanaume mwenzake inafikirisha sana.Fa...lla sana weww🤣🤣🤣
Alikukula?Mbowe alipokaa miezi 8 jela alikuwa anavuna alichopanda kumbe
Ndio. Na baada ya kutoka ameufyata!Mbowe alipokaa miezi 8 jela alikuwa anavuna alichopanda kumbe
Demi amesema mimi nani nipinge?Yaani morani kabisa ambae alitahiriwa bila ganzi na ni marufuku kulia leo hii atoe chozi kumlilia mwanaume mwenzake inafikirisha sana.
Wamasai wa mchongo hawa
Ndugu usipoteze nguvu zako hamna kesi hapo wanamchisha kutaka wamualibie CV yakeHuyu jamaa alitesa sana watu.
Sasa hivi na yeye anateseka, he found karma very early.
Tujifunze kutenda Mema!!View attachment 2355918
Kweli kila mchuma janga hula na wa kwaoHuyu jamaa alitesa sana watu.
Sasa hivi na yeye anateseka, he found karma very early.
Tujifunze kutenda Mema!!View attachment 2355918
Mwenzio ana mwaka selo unasema hamna kesi? Acheni kuchukulia maisha ya watu poa. Unajua ni mambo mangapi yamepotea kwa DC Sabaya kuwa celo mwaka mzima.Ndugu usipoteze nguvu zako hamna kesi hapo wanamchisha kutaka wamualibie CV yake
Ni sehemu ya ubinadamu. Ila wengine ulishaisha ndio maana wanaweza kukubambikia kesi ukanyea debe miaka kibao na hawana habariDaaah huruma sana, huwa sina utaratibu wa kufurahia madhila ya mtu,hata Kama inasemekana ni mbaya kiasi gani.
Imeandikwa tusihukumu.
Hata mbowe nilikuwa namuonea huruma mnoo.
🤣🤣🤣nimemsikiaHaujamsikia mmoja anasema anaozea nje..akajishtukia anaozea ndani huku akivunga kufuta chozi. Sanaa tupu
Masai kama Masai ulione chozi lake kizembezembe?
Jury ina mixiwaHao jamaa wanaolia n kweli wanamaanisha au ndo hivo ka asali kametembea kuwa mislead jury??
Uliwahi kumuona Mbowe analia mahakamani? Walio Lia na kuaibika ni mashahidi, ma SA, hata majaji waliopangiwa kesi hiyo.Mbowe alipokaa miezi 8 jela alikuwa anavuna alichopanda kumbe
Nafikiri hujanielewaMwenzio ana mwaka selo unasema hamna kesi? Acheni kuchukulia maisha ya watu poa. Unajua ni mambo mangapi yamepotea kwa DC Sabaya kuwa celo mwaka mzima.
Okay samahaniNafikiri hujanielewa
Hamna tabuOkay samahani