Video: Ole Sabaya, Anavuna alichopanda Mapema!

Maumivu ya kupiga mtu msumari kwenye ugoko na kuua hayana hata ukaribu na vilio vya hovyo
yaan, laiti tukio moja tu la sabaya dhidi ya binadam mwenzake likionyweshwa kwa watu naamini hata wanaojisemesha kuwa usihukukum watakuwa wa kwanza kumpiga mawe. Sabaya si binadam wa kawaida linapokuja suala la ukatili!
matendo ya sabaya ukiyaangalia kijinai tu utamwona ni mkosaji au mtuhumiwa wa kawaida kama kuiba au kupigana au kutumia mamlaka vibaya au siasa chafu. Ukweli ni kwamba jamaa ni special case! Kinachomsaidia ni watu wengi kutojua kiwango halisi cha matendo yake.
The cabron has guts for anything evil! far beyond felony!!
 
Kabisa
 
Watu wengi hawajui mambo ya Sabaya kabisa.
 
Sabaya vumilia ni muda mchache tu Mwenye Enzi Mungu atakuinua tena maana hayo ni mapito ya binadamu!
Msifu Mwenye Enzi Mungu kwa yote!
Iko siku utakuwa huru tena na utanyanyuliwa na kuwa juu tena walahi nasema!
Kuna ule uwimbo unao sema “usifurahi juu yangu maana niangukapo mimi nitasimama tena”
Pole sana na uwe na afya na uzima!
Subutu!!!!
 
Kama Sabaya angejua maisha ya Mwendazake yalikuwa mafupi asingefanya uchiz ule, hakuangalia upande wa pili. Kifupi alilewa madaraka.
 
Mbowe alipokaa miezi 8 jela alikuwa anavuna alichopanda kumbe
pumbavu wewe.... ivi kuna watanzania wangapi wanafungwa kwa kesi za kusingiziwa na hawajawahi kuliliwa mahakamani ili waachiwe? huyu sababya ni nani haswa mpaka atende maovu yote yale kisha mupeleke wanywa gongo kwenda kulia pale? ukiwa ccm lazima uwe na akili kama shetani tu
 
Back
Top Bottom