Video: Mwenye kuweza ategue Kitendawili cha Rais Samia

Huku kwetu ukisema "kijungu" huwa tunamaanisha vikalio fulani vya mtoto wa kike vilivyobinuka fulani hivi hasa akiwa amekaa kwenye bodaboda.(Jokes hahahaaa)
 
Mwenye kuweza kukitegua akitegue...

View attachment 1876501
Niliwahi andika mahali naiogopa tanzania kuliko hata ninavyo muogopa nyoka au chatu porini. Mimi na kaa kimya ila ninajuwa Ipo nguvu zaidi ya Rais na kama ipo ukimya wa system nzima mpaka wa staafu kwa wenye jicho la mbali wanajuwa what next.... Hayati Magufuli angefufuka leo uwenda angeongoza Taifa hili kwa kukaa kimya mpaka 2025. Historia ga Taifa hili na miundo yake yakiusalama inatisha sana. Mungu tukumbuke watanzania na huwo ndio mwisho wa hadithi yangu.
 
ndo amilijeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama, mamaee
Aibu tupu
IMG_20201018_091547.jpg
 
Kitendawili natega, natega kitegueni
Tegueni bila woga, nasubiri kwa hisani
Kuna kijungu chapwaga, bila ya moto jikoni

Kama mmeshindwa mpeni mji Mama atutegulie mwenyewe kitendawili chake
Alikuwa anatega kitendawili akiwa Makamo wa Rais, sasa hivi ni Rais hategi tena bali anatenda.
 
Back
Top Bottom