Video: Mtalimbo Umelala umelala doro

Burn muogope Mungu wako.Kuolewa/kuoa ni wajibu na kuzaa ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.Unajuaje kama wanataka mtoto lakni hawapati? Wewe una watoto shukuru Mungu lakini kuna wenzio wanashinda kanisani kwenye mikesha kuomba watoto na wengine kwa kina kalumanzila kutafuta watoto na bado ni ishu.

Sikutaka kulisema hili, ila wacha niliseme tu, wote Gadner na Jaydee wapo fit kuweza kupata mtoto( inajulikana Gadner ana mtoto mkubwa tu, na Jaydee aliwahi kupata ujaouzito kipindi fulani) lakini Gadner ambaye ndiye manager wa Jaydee kashauri asizae kwa sasa ili aweze kufanya shughuli zake za muziki na kwa kuwa yupo kwenye peak ni vyema aka exploit hali hii to the maximum. Sasa unataka niseme kuwa hawakujaliwa kupata mtoto au hawajaamua kupata mtoto kwa ajili ya maslahi yao ya kibiashara kwa sasa?
 
WAO, JAMANI WAPO KIKAZI ZAIDI, aka WAPO KIBIASHARA MAMBO YA KUZAAZAA BADO KWA SASA MUWAACHE WENYEWE NDIO WANAJUA.
 
hahahaaaaa
....mduduu, nionjeshe mdudu
....ewe nipe mdudu, usininyime mdudu!.
....hilo tunda, mdudu, usininyime
aaah bwana...vp?, mwataka tena?, eeeehhh tupe mzigoo!.
aaah seketulaa, seketu.
si nchezo na mtarimbo.
 
Sikutaka kulisema hili, ila wacha niliseme tu, wote Gadner na Jaydee wapo fit kuweza kupata mtoto( inajulikana Gadner ana mtoto mkubwa tu, na Jaydee aliwahi kupata ujaouzito kipindi fulani) lakini Gadner ambaye ndiye manager wa Jaydee kashauri asizae kwa sasa ili aweze kufanya shughuli zake za muziki na kwa kuwa yupo kwenye peak ni vyema aka exploit hali hii to the maximum. Sasa unataka niseme kuwa hawakujaliwa kupata mtoto au hawajaamua kupata mtoto kwa ajili ya maslahi yao ya kibiashara kwa sasa?
Basi bwana,nadhani wewe utakuwa ni MD wa machozi band kabisaaaaaaa.Maana haya madetails ni adimu kuyapata kama huna hisa.Tuwaache wenyewe na maisha yao.
 
Rudi nyuma shetani!
from being maria magdalene to being shetani.....haijalishi wat matters ni we kusema ili nasisi tuweze kuchangia huu mjadala

ntaanza kukuhesabia kama we ulivomfanyia ngomanzito ohoooo
 
Huu wimbo wote tunauelewa sema tunazunguuka! ni madhara ya kisukari na kula wake za watu.
 
Back
Top Bottom