HahahahaHuyu mtoto au mdoli..??
Mbona sioni vizuri.
Mkuu sioni cha kuchekesha hapo..wanadamu kweli tuna mioyo tofautiHahahaha
Mkuu sioni cha kuchekesha hapo..wanadamu kweli tuna mioyo tofauti[/QUOTE nimecheka sababu ya niliyemquote
Kwa wale ambao mna wasichana wa kazi majumbani mnatakiwa kuwa makini sana na hao wasichana mnawaachia watoto wenu.