Expiation 45

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Hii ni kanuni,sheria ya Buddha kwa watawa wa kike.
Hii sheria inanichekesha kidogo. Hii sheria inasema mwanamke aliyeolewa muda mrefu ni mvumilivu.

Buddha alikuwa katika mji wa Savatthi .
Sasa wakati huo ·watawa ( wa kike) waliwafanyia ordination wasichana ambao wameolewa kwa kipindi ambacho ni chini ya miaka kumi na mbili.(Yaani,toka walipoolewa,miaka kumi na mbili haijatimia).
Hawa (wasichana)hawakuweza kustahimili baridi, joto, njaa, kiu, kugusana na mainzi, mbu, upepo na jua, vitambaavyo(creeping things), lugha ya matusi; hawakuwa na uwezo wa kustahimili hisia za mwili zinapotokea ni za ·uchungu, kali, zisizokubalika, zenye kuhuzunisha, zenye kuua. Wale watawa waliokuwa modest (wenye kiasi ). . . wakaieneza, wakisema: "Watawa wanawezaje kumtawaza msichana aliyeolewa kwa chini ya miaka kumi na miwili?" Wasichana kama hao hawawezi kustahamili baridi,joto,njaa,kiu,kugusana na mainzi,mbu,upepo na jua,vitambaavyo,lugha ya matusi; hawana uwezo wa kustahimili hisia zamwili zinazotokea ambazo ni cungu,kaki,zisizokubalika,zenye kuua.
sana na mainzi. Wakamwambia Buddha.
Buddha akawauliza,
"Je, ni kweli, kama inavyosemwa na watawa, kwamba watawa waliweka wakfu kwa wasichana walioolewa kwa chini ya miaka kumi na miwili?" "Ni kweli, bwana."
Buddha, aliwakemea, akisema: [321] "Vipi, watawa, watawa wanawezaje kumtawaza msichana aliyeolewa kwa chini ya miaka kumi na miwili. Watawa, msichana aliyeolewa kwa chini ya miaka kumi na miwili hawezi kustahimili baridi,joto,njaa,kiu,kugusana ma mainzi,mbu,upepo na jua, lugha ya matusi;hawezi kustahimili hisia za mwili zinazotokea ambazo ni chungu,kali,zisizokubalika,zinazohuzunisha,zenye kuua.. . "

Kwa hiyo Buddha akasema kanuni hii ya mafunzo:
Mtawa yoyote atakayemtawaza msichana aliyeolewa chini ya miaka kumi na miwili atakuwa amefanya kosa.
 
Back
Top Bottom