Video: Msichana wa kazi akimfanyia ukatili mtoto, inauma sana!

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Kwa wale ambao mna wasichana wa kazi majumbani mnatakiwa kuwa makini sana na hao wasichana mnawaachia watoto wenu.
 

Attachments

  • tmp_18521-VID-20161114-WA0034-944718956.mp4
    2.3 MB · Views: 85
Aisee mbona Ana roho mbaya huyo mdada.
Yaani huyu mdada anastahili kipigo cha nguvu kabla ya kumpeleka kwenye vyombo vya sheria. Inaumiza Sana
 
hapo ndo nimemtia kwenye 18 zangu, duu scorpion cha mtoto lazima nimtoe macho na masikio
 
Ningekuwa ndio Mimi namkuta dah mungu nisamehee angekufa kifo Kibaya sana

Sent from mTalk
 
Kwa wale ambao mna wasichana wa kazi majumbani mnatakiwa kuwa makini sana na hao wasichana mnawaachia watoto wenu.


Ni kweli kabisa tuwe makini na wasichana wa kazi. Kwa kuwalipa vizuri na kuwajali.

Kuhusu Video hiyo: NI FAKE. SIO KWELI HILO NI IGIZO TU. PICHA ZINONESHA KUNA MUUNGANISHAJI WA PICHA NYINGI IKIWAMO YA HILO CATOON KAMA MTOTO.

Lakini sio mbaya igizo hilo limeeleweka na linafunzo.
 
Back
Top Bottom