real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Jaa kubwa zaidi la kutupia matairi Ulaya lilishika moto kilometa 36 kutoka mji wa Madrid, moshi ulikuwa zaidi ya futi 20 kwenda juu na mawingu mazito yenye sumu yakielea angani, wazima moto walisema moto huo ulikuwa umezibitiwa, lakini kuna wasiwasi kuhusu hewa ya sumu itakayoleta madhara kiafya