Hukuwa na haja ya kunitag. Uchaguzi wowote ni pata potea; Trump ameprove kuwa unstable na thin-skinned sana kiasi kuwa hata watu wake wamemwogopa. Halafu kazi kubwa waliyokuwa wanataka afanye ya kujaza majaji ameishaimaliza. Subiri matoleo yaje; wengine tunajua kukubali matokeo yakishatoka, hatuwezi kubisha baada ya hapo, lakinit tusipoteze muda kujadiliana mambo ambayo muda wake haujafika. Kuna mwanafalsafa mmoja alisema usivuke daraja kabla ya kulifikia.Kichuguu Mmesahau?!
Huna unalojua lete Takwimu za Trump kwenye uchumi, ajira n.k sio maneno matupu ...Hukuwa na haja ya kunitag. Uchaguzi wowote ni pata potea; Trump ameprove kuwa unstable na thin-skinned sana kiasi kuwa hata watu wake wamemwogopa. Halafu kazi kubwa waliyokuwa wanataka afanye ya kujaza majaji ameishaimaliza. Subiri matoleo yaje; wengine tunajua kukubali matokeo yakishatoka, hatuwezi kubisha baada ya hapo, lakinit tusipoteze muda kujadiliana mambo ambayo muda wake haujafika. Kuna mwanafalsafa mmoja alisema usivuke daraja kabla ya kulifikia.
Kwa bahati mbaya kila ninapokuwa tagged huwa ninajitahidi kujibu; ila kwa sasa hivi nilikuwa namalizia kazi ya maans sikuwa napenda kurudia mambo haya yasiyokuwa na msingi. Trump alikuta unemployement rate ya 4.7 % ikiwa inashuka taratibu na uchumi wa amerakani ulikuwa unakua taratibu kwa 2.5%, akapitisha tax cuts na kufuta regulations akidai uchumi utakua kwa 5% na unepoloyment rate itafutika. Baada ya tax cut kweli unemployment iliendelea kushuka pole pole kama enzi za Obama hadi kufikia kama 3.4% nadni ya miaka mitatu, wakati wa Obama aliishusha kutoka 12% hadi 4.7% katika miaka saba; hata hivyo lakini uchumi haukukua tofauti na ule wa obama, umebaki 2.5% tu. Wakati Obama alikuwa ana-encourae watu waingie kwenye kazi stable, yeye alikuja anachapulia kazi za mkatao mkato tu, na aliwahi kuwaambia kuwa uchimbaji wa makaa ya mawe utarudi. Leo hii marekani hakuna cha makaa ya mawe tena, wale wachimaji wa makaa ya mawe waliompigia kura wengi wao ni wagonjwa sana, na wale waliopata na kazi za mkato ndio waliofutwa na wimbi hili na Corona. Unemployment sasa hivi ni zaid ya 20% na uchumi haujawahi kukua zadi ya 2.5% kwa mwaka aliyoacha Obama. Hiyo achilia mbalie deni la mareani na deficit ambacyo vimepanda sana ndani ya hii miaka mitatu tu bila matokeo yoyote. Najua kuna watu huwa wanapenda kusikia wanavyoamaini, na siwezi kukuambia utakachoelewa kama uko katika ukumbi huo. Lakini facts don't hide.Huna unalojua lete Takwimu za Trump kwenye uchumi, ajira n.k sio maneno matupu ...
Sijakutag kwa bahati mbaya, hayo kwenye bold ni maneno yako Hata kule kwenye republican kwenyewe nako amejenga uadui na sehemu fulani ya republicans ambapo kuwa republican kadhaa watapiga kura against Trump siyo for for a Challenger, na kuna republican ambao hawatapiga kura kabisa, kwa hiyo trump anabaki na ile base tu ambayo haitoshi kabisa kushindaHukuwa na haja ya kunitag. Uchaguzi wowote ni pata potea; Trump ameprove kuwa unstable na thin-skinned sana kiasi kuwa hata watu wake wamemwogopa. Halafu kazi kubwa waliyokuwa wanataka afanye ya kujaza majaji ameishaimaliza. Subiri matoleo yaje; wengine tunajua kukubali matokeo yakishatoka, hatuwezi kubisha baada ya hapo, lakinit tusipoteze muda kujadiliana mambo ambayo muda wake haujafika. Kuna mwanafalsafa mmoja alisema usivuke daraja kabla ya kulifikia.
Ok, yupo fresh kwenye uchumi lakini maisha sio uchumi tu peke yake, amekuwa mzembe sana kwenye hili la Corona virus ambalo ndio litakuwa factor kubwa sana kwenye uchaguzi, maana watu wengi sana wamekufa kwa uzembe wa Trump kutokuchukua hatua mapema licha ya kushauriwaKwa bahati mbaya kila ninapokuwa tagged huwa ninajitahidi kujibu; ila kwa sasa hivi nilikuwa namalizia kazi ya maans sikuwa napenda kurudia mambo haya yasiyokuwa na msingi. Trump alikuta unemployement rate ya 4.7 % ikiwa inashuka taratibu na uchumi wa amerakani ulikuwa unakua taratibu kwa 2.5%, akapitisha tax cuts na kufuta regulations akidai uchumi utakua kwa 5% na unepoloyment rate itafutika. Baada ya tax cut kweli unemployment iliendelea kushuka pole pole kama enzi za Obama hadi kufikia kama 3.4% nadni ya miaka mitatu, wakati wa Obama aliishusha kutoka 12% hadi 4.7% katika miaka saba; hata hivyo lakini uchumi haukukua tofauti na ule wa obama, umebaki 2.5% tu. Wakati Obama alikuwa ana-encourae watu waingie kwenye kazi stable, yeye alikuja anachapulia kazi za mkatao mkato tu, na aliwahi kuwaambia kuwa uchimbaji wa makaa ya mawe utarudi. Leo hii marekani hakuna cha makaa ya mawe tena, wale wachimaji wa makaa ya mawe waliompigia kura wengi wao ni wagonjwa sana, na wale waliopata na kazi za mkato ndio waliofutwa na wimbi hili na Corona. Unemployment sasa hivi ni zaid ya 20% na uchumi haujawahi kukua zadi ya 2.5% kwa mwaka aliyoacha Obama. Hiyo achilia mbalie deni la mareani na deficit ambacyo vimepanda sana ndani ya hii miaka mitatu tu bila matokeo yoyote. Najua kuna watu huwa wanapenda kusikia wanavyoamaini, na siwezi kukuambia utakachoelewa kama uko katika ukumbi huo. Lakini facts don't hide.
Data za Uchumi wa Marekani ziko wazi kabisa na zinapatikana mitandaoni kila mwisho wa mwezi; kwa nini uwe unaamini vitu kijinga kijinga bila kusoma data hizo ambazo siyo siri kabisa?
1. Data za GDP ya Marekani ni pamoja na hizi hapa
View attachment 1463271
2. GDP growth rate ni hii hapa
View attachment 1463274
3. Unemployment rate ni hii hapa
View attachment 1463277
Sasa sijui unasiia nini kwenye data hizo.
Kwa ubaguzi ndio tunaamini ni namba nyengineTrump ni namba nyingine.
mijadala ya kina trump kuhusiana na mauchaguzi yao hua sipendi kuiingilia ila MKUU kuna watu hata ukiwapa fact watabisha tuKwa bahati mbaya kila ninapokuwa tagged huwa ninajitahidi kujibu; ila kwa sasa hivi nilikuwa namalizia kazi ya maans sikuwa napenda kurudia mambo haya yasiyokuwa na msingi. Trump alikuta unemployement rate ya 4.7 % ikiwa inashuka taratibu na uchumi wa amerakani ulikuwa unakua taratibu kwa 2.5%, akapitisha tax cuts na kufuta regulations akidai uchumi utakua kwa 5% na unepoloyment rate itafutika. Baada ya tax cut kweli unemployment iliendelea kushuka pole pole kama enzi za Obama hadi kufikia kama 3.4% nadni ya miaka mitatu, wakati wa Obama aliishusha kutoka 12% hadi 4.7% katika miaka saba; hata hivyo lakini uchumi haukukua tofauti na ule wa obama, umebaki 2.5% tu. Wakati Obama alikuwa ana-encourae watu waingie kwenye kazi stable, yeye alikuja anachapulia kazi za mkatao mkato tu, na aliwahi kuwaambia kuwa uchimbaji wa makaa ya mawe utarudi. Leo hii marekani hakuna cha makaa ya mawe tena, wale wachimaji wa makaa ya mawe waliompigia kura wengi wao ni wagonjwa sana, na wale waliopata na kazi za mkato ndio waliofutwa na wimbi hili na Corona. Unemployment sasa hivi ni zaid ya 20% na uchumi haujawahi kukua zadi ya 2.5% kwa mwaka aliyoacha Obama. Hiyo achilia mbalie deni la mareani na deficit ambacyo vimepanda sana ndani ya hii miaka mitatu tu bila matokeo yoyote. Najua kuna watu huwa wanapenda kusikia wanavyoamaini, na siwezi kukuambia utakachoelewa kama uko katika ukumbi huo. Lakini facts don't hide.
Data za Uchumi wa Marekani ziko wazi kabisa na zinapatikana mitandaoni kila mwisho wa mwezi; kwa nini uwe unaamini vitu kijinga kijinga bila kusoma data hizo ambazo siyo siri kabisa?
1. Data za GDP ya Marekani ni pamoja na hizi hapa
View attachment 1463271
2. GDP growth rate ni hii hapa
View attachment 1463274
3. Unemployment rate ni hii hapa
View attachment 1463277
Sasa sijui unasiia nini kwenye data hizo.
mijadala yauchaguzi warais wa US hua sipendi kabisa kuchangia huu sijui niliingiaje mkengeKwako fact ni zile tu zinazoonyesha Trump kushindwa
Tazameni hiyo video yote labda mtakumbuka, maana naona mmeshasahau. Obama, Pelosi, nk mtawaona humo.