Je, Trump akisimama tena na Biden kwenye Mbio za Urasi mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Uchaguzi wa Marekani unafanyika mwaka huu mwezi November

Democract itawakilishwa na Biden, raisi wa sasa wa USA wakati upande wa Republican, bado hanapatikana mgombea lakini wako kwenye mchakato wa kumpata mgombea. Kuna dalili kubwa bwana Trump akawa mgombea wa uraisi kupitia Republican

Je, ikiwa Trump akasimama tena na Biden mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

Lakini ikitokea kweli hawa wazee wote wakaingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, ina maana Marekani hakuna wanasiasa vijana?
 
Sio hivyo kwani wanasiasa wengi vijana wamewahi kuiongoza hiyo nchi mara nyingi ila ni swala la wakati tu.

Hata hivyo bado uhakika wa Trump kuwa kwenye kinyang'anyiro bado ni kitendawili kwani mpaka apangue vyesi vinavyo mkabili na ni shughuli.
 
Kama watu wanawataka wazee huwezi kulazimisha vijana,
Hili ndilo kosa linlofanyika kwenye ubunge wa viti maalumu hapa kwetu.
 
Watu hawapendi wazee na Biden ni mzee zaidi pia sio strong kuweza kuiweka Marekani ktk nafasi sahihi yenye ushawishi na matokeo yake udhaifu wake umefanya mataifa dhaifu kama Russia na Iran kuvuruga amani ya dunia.

Biden and his Democratic Party have no strategy and potential to return the American swaying global hegemony.
 
Njia pekee ya Kumzuia Trump ili asishinde uchaguzi ujao ni kumuondoa kwenye karatasi ya Kura, Sema kwa mbali naona kama Mwanamama Nikki Haley anatengenezewa ka mserereko, In case Nikki Haley akishinda Urais Dunia ijiandae kwa vita ya tatu ya Dunia
 
Uchaguzi wa Marekani unafanyika mwaka huu mwezi November

Democract itawakilishwa na Biden, raisi wa sasa wa USA wakati upande wa Republican, bado hanapatikana mgombea lakini wako kwenye mchakato wa kumpata mgombea. Kuna dalili kubwa bwana Trump akawa mgombea wa uraisi kupitia Republican

Je, ikiwa Trump akasimama tena na Biden mwaka huu, nani anaweza kuibuka mshindi?

Lakini ikitokea kweli hawa wazee wote wakaingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, ina maana Marekani hakuna wanasiasa vijana?
Mzee Trumpet 🎺
 
Sio hivyo kwani wanasiasa wengi vijana wamewahi kuiongoza hiyo nchi mara nyingi ila ni swala la wakati tu.

Hata hivyo bado uhakika wa Trump kuwa kwenye kinyang'anyiro bado ni kitendawili kwani mpaka apangue vyesi vinavyo mkabili na ni shughuli.
Kesi ipi inaweza kumtoa kwenye kinyang'anyiro? Uzuri wa Marekani watu wakikutaka unaweza kwenda ikulu kutokea jela.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Njia pekee ya Kumzuia Trump ili asishinde uchaguzi ujao ni kumuondoa kwenye karatasi ya Kura, Sema kwa mbali naona kama Mwanamama Nikki Haley anatengenezewa ka mserereko, In case Nikki Haley akishinda Urais Dunia ijiandae kwa vita ya tatu ya Dunia
Kwa nini mkuu
 
Back
Top Bottom