Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
- Thread starter
-
- #201
This is too much,wapiga kura wao vijijini hawayajui haya ndio maana hawashtuki wala kuteteleka
mimi ninashauri hizi video tuzihifadhi,kila anayekwenda kuelimisha watu vijijini aende na projector wananchi wajionee wenyewe unyama huu...we are at the critical point that we need to sacrifice OUR lives to bring changes..nitakuwa wa kwanza kuzipeleka video hizi kwa wapiga kura wao hata waniue sitakuwa wa kwanza kuililia ardhi yangu.....
Ben hongera kwa ujasiri huu
they have killed one but we are coming
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili
WANAJF,
Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.
Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube
Ben SaananeRose Mayemba,
Tuzisambaza nchi nzima wananchi waone unyama huu uliofanywa na watanzania wenzetu kwa sababu za kisiasa tu baada ya kushindwa kukabiliana na Chadema kwa hoja.
Mimi natangaza wazi kabisa uvumilivu wangu kwa jeshi la polisi na serikali yangu umeisha kabisa sina chembe ya uvumilivu iliyobakia.
Nenda zako unataka majibu nenda kamuulize Chagonja ili akuchape nao kama kawaidaBen Saanane
Video haijajibu swali ni nani aliyerusha bomu tulitegemea utuwekee video yenye habari kamili kama ile ya Lwakatare; wewe kuwa na hasira na polisi lakini wote tunajua hiyo ndio njia pekee mliobaki nayo kisiasa; kama mngekuwa na uthibitisho wa kamili wa polisi kuhusika katika hili nina uhakika media zote za ndani nje zingekuwa na mkanda huo ila kwasababu huu upuuzi mnautengeneza wenyewe hamuwezi kutoa uthibitisho yakinifu; swali tu mtaendelea hadi lini kudhuru watanzania wasio na hatia?
Nenda zako unataka majibu nenda kamuulize Chagonja ili akuchape nao kama kawaida
TAFADHALI weka onyo unapoweka picha ambazo ziko sensitive kama hizo
Umefyatuka; haikusaidii ni dalili za wazi kuwa inakuuma lakini hujachukua hatua kujua na kutafakari sababu na wahusika. Unaficha kichwa huku kiwili wili kipo nje. TAFAKARI CHUKUA HATUA au kajifie na ufyatu wakoDuh. Chonde chonde msajili hurumia watanzania wenzetu, futilia mbali hili genge haraka litatumaliza.
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili
WANAJF,
Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.
Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube
Ben Saanane
Video haijajibu swali ni nani aliyerusha bomu tulitegemea utuwekee video yenye habari kamili kama ile ya Lwakatare; wewe kuwa na hasira na polisi lakini wote tunajua hiyo ndio njia pekee mliobaki nayo kisiasa; kama mngekuwa na uthibitisho wa kamili wa polisi kuhusika katika hili nina uhakika media zote za ndani nje zingekuwa na mkanda huo ila kwasababu huu upuuzi mnautengeneza wenyewe hamuwezi kutoa uthibitisho yakinifu; swali tu mtaendelea hadi lini kudhuru watanzania wasio na hatia?
Ben Saanane
Video haijajibu swali ni nani aliyerusha bomu tulitegemea utuwekee video yenye habari kamili kama ile ya Lwakatare; wewe kuwa na hasira na polisi lakini wote tunajua hiyo ndio njia pekee mliobaki nayo kisiasa; kama mngekuwa na uthibitisho wa kamili wa polisi kuhusika katika hili nina uhakika media zote za ndani nje zingekuwa na mkanda huo ila kwasababu huu upuuzi mnautengeneza wenyewe hamuwezi kutoa uthibitisho yakinifu; swali tu mtaendelea hadi lini kudhuru watanzania wasio na hatia?
Sijaamini bado, hii ni Tanzania? au Syria, nadhani CDM fanyeni kitu kupitia UN, haiwezekani mbinu za kukandamiza demokrasia zikaachwa hivihivi. Hivi ungekuwa mkutano wa CCM mlipuaji angekuwa bado hajakamtwa? AAgh!!!!
Amina kaka.....................!Sauti za vilio vya watu zikimlilia mungu kwenye huo mlipuko hazitapita bure kama mvua inavyonyea ardhi ndivyo hasira ya bwana itakavyowashukia wauaji hao
nani kasema hawajui walitendalo?nimeangalia sina cha kusema ila tu :Mungu uwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo: