Video: Maxence Melo awashukuru wote walioshiriki na hana tatizo na yeyote

Vijana kama hawa ni hazina kwa taifa ila nasikitika hapa kwetu ndo kama ivyo ila nchi zewenzetu wenye kufikiri watu wanamna iyo ndo silaha zamageuzi ya fikra na teknolojia.Pole sana bw.Max sisi tuko nyuma yako.Just keep it up bro.

Hapana mkuu hata huko mbele wapo kama kina max wananyanyasika sana refer ASENGA
 
Big up Max; tulinde HAKI yetu ya kikatiba ya UHURU WA KUTOA NA KUPATA HABARI, KUJIELEZA pasi na kusumbuliwa na yeyote; Mtu asiependa kuusikia ukweli analo jambo OVU anaficha; Anyone who acts CAGEY has something to HIDE! Ntu wa aina hiyo hata akiomba olaombewe kiasi gani MUNGU hatayapokea maombi hayo na hatimaye "ATAMCHAPA TU!!"
 
Pole Max and thank you for your wisdom and understanding...You are so adorable!
 
Mkuu maxence mello utulinde, tunakuombea kila lakheli katika kazi zako na maisha yako
Tuendelee kutoa michango huru ya mawazo/hoja bila woga, tukifanya hivyo tutakuwa tunamuunga mkono Maxence Melo pamoja na mtandao wetu huru wa Jamiiforums. Pia pole sana Maxence Melo kwa kubebeshwa kadhia hii ya "kisheria" kwa niaba yetu wadau wa Jamiiforums, tunakuombea changamoto hii iishe salama.
 
Mbona siwaoni ITV,STAR TV,TBC,CH 10!????

AU WALIKATAZWA....
 
f53b15b871192b55fec89a105130637c.jpg
 
Pole sana mkuu. Jukwaa hili likitetereka wapi tutathubutu kusemea? It is where we dare to talk. Mungu na akusimamie na aisimamie jamii media
Viva Mello. cmfahamu mtetezi wa haki za wengi walio wanyonge asiewahi kupata misukosuko. Umejitofautisha na wengi. Mungu nae atakutofautisha na wengi
 
Back
Top Bottom