Jamaa angekuwa mwanasiasa chama pekee ambacho kingemfaa ni ACT wazalendo.
Nmegundua kuna vyombo vya habari sivion hapo kwenye press conference wakat mara kibao wanapata habar huku JF
asante kwa ufafanuzi mkuuVyombo vingi vya habari vilikuwepo mahakamani lakini wahusika walikataza Maxence kuongelea kwenye eneo la mahakama hivyo wachache waliofanikiwa kumfata walimfata(Nadhani pia mahakamani kulikuwa na kesi nyingine kubwa).
We hapa hakuna sihasa, jamaa katoa shukrani zake tu. Anzisha uzi mwingineMax kaongea kama mtu tumamu
Sio wale wengine hapo ingelikuwa shida
Wao nikuropoka ujinga muda wote
Vitu kama hivi kaka tunakuwaga pamojaa napenda sana mtu akiongeaaa kama huyu jamaaa maneno yakee sio unaachiwa unaanzaaa kupondaaa saf sana maxMax ameongea vizuri bila mihemko. Safi sana
"Tuwalinde watoa taarifa kwa namna yoyote ile tunavyo weza" hii kauli imenipa matumaini ya kuiona Tanzania Mpya.