Video: Mashoga Wafunga Ndoa Afrika Kusini

Video: Mashoga Wafunga Ndoa Afrika Kusini

mbona groom ni mtoto mdogo,jamani this is dangerous oooh my Lord
 
Ndoa hii imepata baraka za wazazi na imefungwa mbele ya umati mkubwa wa watu.
Mungu ainusuru Afrika, sijui kizazi cha miaka thelathini ijayo kitakuwaje ikiwa mambo yamekuwa hivi tangu sasa.

<a onclick="_gaq.push(['_trackEvent', 'Outgoing', 'www.youtube.com', '/watch?feature=player_embedded&amp; v=1ZLB9Y7lPw8']);" rel="nofollow" href="https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&amp; v=1ZLB9Y7lPw8#!" target="_blank">

Angalieni wasiione machabiki wa Manure ... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Sikujua kwamba waafrika (na ngozi nyeusi kwa ujumla) ni ''race'' ya watakatifu.

Kwa hivyo wewe ukiona mtu anaomba Mungu kumnusuru unaelewa kuwa huyo mtu ni mtakatifu? Ndugu yangu, Kiswahili kimeshakuwa kigumu hivyo kweli?
 
kweli chini hapana utoto,ila tusali sana hali ni mbaya kupita maelezo

Haya yote hayana budi kutokea...maana yote yalitabiriwa kama ni ishara ya kurudi kwake.
 
Toka mwanzo tumekuwa tunasikia wanawake na watoto kuuawa au kuuzwa kama
Mbuzi, watu kuchinjana kama wanyama kila kukicha, kulipuana bila sababu za msingi. Dunia bado haijaisha. ila watu wawili kupendana na kutaka kuishi pamoja ni ishara kuwa dunia imekwisha?
 
heeeee HoneyBee una maana gani kwa hili, au na wewe ni wa dizaini hii? mhhh haya bwana ila nahisi na wewe unapumuliwa kisogo vile
 
Last edited by a moderator:
mbona groom ni mtoto mdogo,jamani this is dangerous oooh my Lord

Eeh hebu tema mate chini dadangu! Ati groom nini? mtoto? Utashangaa na mashangao ya dunia pale utakapoona huyo mtoto analipakuwa bwabwa hilo bonge la mtu (sijui ndo bride) huku likiwa linapiga vigelegele na kutoa kila aina ya miguno na masononeko kuashiria rusha roho linayopewa na mtoto🙂

Itabidi nikupe ziara ya uswazi huko siku moja 'ukale kozi" (chungulia madirishani) kwenye maguest na mitaani huko uone mambo🙂 smile🙂
 
heeeee HoneyBee una maana gani kwa hili, au na wewe ni wa dizaini hii? mhhh haya bwana ila nahisi na wewe unapumuliwa kisogo vile

An idiot resorts to insults rather than civil discussion when they do not agree or understand any other point of view. kama umeshindwa kuelewa maandishi yangu nenda Jamii photos section ukchekee picha. Nyie ndo hamuwezi kufungua kitabu kama hakina picha.
 
Back
Top Bottom