Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Na kama alinunua 2013 na mikataba kama hivyo inajionyesha si transfer ya Title Deed ingekua ipo kwa jina la Makonda sasa hivi? Kitu gani kimepelekea transfer of ownership isikamilike miaka tisa baadae?

Hiyo inayoonyweshwa na kubishaniwa ni mikataba. Tunataka kuona Title Deed yenye jina la Paul Christian Makonda

Hiyo tarehe ni wamebackdate tu bwana mbona rahisi kujua who was makonda 2013 mpaka kupewa?!
 
Mkuu ammoshi , kwenye mauziano mengi ya land, na hata Nagari ya thamani kubwa, watu wanafanya deflate the price ili walipe transfer fee ndogo. Hiyo figure inayoonekana hapo sio the real price, hiyo ni just a visible cost, lakini the real cost ni nyingine. Michezo hii serikali yetu inainua na tunaicheza at government level, mfano mzuri ni ununuzi wa jengo la ubalozi wetu Rome, tumelipa mara mbili, kwanza tumelipa the visible cost, malipo yanayoonekana na kukatiwa receipt na kulipwa through bank account ya ubalozi, ambayo ndio yatalipiwa Kodi.

Kisha malipo halisi, yanayolipwa cash from personal account ambayo hayaonekani, hayajaandikwa na hayalipiwi Kodi na hakuna receipt ya mpokeaji. Ambapo fedha ziliingizwa kwenye account personal ya Balozi, na yeye kuzi withdraw na kulipa cash.

CAG alipogagua, akadhani Balozi amepiga, na kwa sababu kuliisha tokea ugomvi wa kugombea naniliu, Mzee Baba wa wakati huo, akampeleka kwa pilato, kama Amatius Liyumba, alivyo shughulikiwa ni ...

P

Hata ukiandika bei ya uwongo muda wa kubadili jina la umiliki lazima ulipe kodi na serikali hukipa thamani yake yeye ..
Kiufupi makonda na hao wenzie wali backdate hayo manunuzi yao....
Na makonda kapigwa na kitu kizito na hao waarabu mikataba fake bila kujua
 
Mimi sio fani wa bashite Lakini ngoja niulize,"Kwanini GSM asiende mahakamani,sheria ndio iamue?",Hili nchi huongozwa Kwa utawala wa sheria,hatupo Somalia au Sudan kusini ambako mifumo ya sheria Bado ni dhaifu🤔
 
Kama walimfanyia mchezo suala la kwanza inawezekana wamecheza Na mwanasheria. Je, aliyepiga muhuri kaupata lini? Maana inawezekana kaingia kwenye roll 2015 au mbele. Hicho ndo cha kwanza kuchunguza. Pia at that time inabidi approvide bank statement zake kuonesha chanzo chake cha mapato. Kazipata wapi hizo hela nyingi hivyo? Pia eneo kama Ada Estate at that moment at least kiwanja kilikua kinarange 500M- 1Billion. How did he convince the man to sell at less PRI e? Pia kiwanja kimelipowa Land rent. Who was paying? Who have the receipts? How does the government registry say about the receipts? When forging and backdate, make sure to correct all the registers
Angalia wasifu wa Learned brother, Ameanza Kuwa Active Jan 1, 2020.
.
Swali la Kujiuliza ni Kwamba Kama amekuwa active kama wakili kuanzia Jan 2020, ilikuwaje akasaini Sell Agreement 2013.
.
Kuwa active maana yake amehuisha Seal Yake Kwa kulipa ada TLS, Mahakamani na ada zingine.
.
Je itakuwa Learned brother alisaini Mkataba akiwa ni Mtumishi wa Umma?
Screenshot_20220312-120626.jpg
Screenshot_20220312-120313.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio fani wa bashite Lakini ngoja niulize,"Kwanini GSM asiende mahakamani,sheria ndio iamue?",Hili nchi huongozwa Kwa utawala wa sheria,hatupo Somalia au Sudan kusini ambako mifumo ya sheria Bado ni dhaifu

Hapo wamekutana majambazi wawili mmoja kapigwa kwa ushamba wake..
Hamna wa kwenda mahakamani hapo wote wanajuana walivyopeana hicho kiwanja kwa ujanja ujanja atakae poteza hapo ni makonda kukubali kusign mikataba fake ya umiliki bila kujua so akijaribu kwenda mahakamani kudai ataonekana hiyo mikataba fake kutokana na hiyo mihuri kua chini ya picha so yanaweza kumkuta makubwa zaidi ya hayo
 
Angalia wasifu wa Learned brother, Ameanza Kuwa Active Jan 1, 2020.
.
Swali la Kujiuliza ni Kwamba Kama amekuwa active kama wakili kuanzia Jan 2020, ilikuwaje akasaini Sell Agreement 2013.
.
Kuwa active maana yake amehuisha Seal Yake Kwa kulipa ada TLS, Mahakamani na ada zingine.
.
Je itakuwa Learned brother alisaini Mkataba akiwa ni Mtumishi wa Umma? View attachment 2147755View attachment 2147756

Sent using Jamii Forums mobile app
duh, hapo patamu. kumbe wakili msomi huyu ndio alikuwa active tangu 2013 au 2020, what and what, sasa ikionekana hivyo si ataikana hiyo mihuri na bashite ataonekana kagushi hiyo saini? kwani nyaraka zilizopelekwa kule ardhi kufanya transfer zinaonyesha tarehe gani? zipo? kama wamebackdate akamatwe mara moja, huyu wakili ni shahidi mzuri wa jamhuri.
 
Chupli chupli mwisho wa siku njia ya muongo ni fupi
 
duh, hapo patamu. kumbe wakili msomi huyu ndio alikuwa active tangu 2013 au 2020, what and what, sasa ikionekana hivyo si ataikana hiyo mihuri na bashite ataonekana kagushi hiyo saini? kwani nyaraka zilizopelekwa kule ardhi kufanya transfer zinaonyesha tarehe gani? zipo? kama wamebackdate akamatwe mara moja, huyu wakili ni shahidi mzuri wa jamhuri.

d991e9da-fa3f-43a0-a04a-82d4fea1484c.jpg

Ona hiyo ndio utajua mkuu wenu wa mkoa alichezewa shere bila kujua na ushamba wake
 
Back
Top Bottom