Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,650
- 218,130
JIWE ALIYEFIFIA HUKO GEREJILowasa aliechamgamka
wacha weeMimi sina chama ila huyu lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa
Ila Lissu mkorofi sanaMakamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali
Huyu hapa
View attachment 1592971
View attachment 1592973
Nimekwambia kwa Lissu hakuna kujiliwaza, ni sindano tu.Lowasa aliechamgamka
Wewe choko, ebu pambana na uchoko wako.Mimi sina chama ila huyu lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa
Wewe ndio unazeeka vibaya, mwanaume gani huyajui majukumu yako???huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? chamsingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni