Video: Mafunzo ya Jeshi ni morali , Uzalendo na Utii

Hahaha kwanini mkuu?
Ukiachana na kazi za kibeto hizo za kuchoshana ni kitu gani kingine tunafanya kama sehemu ya kuboresha jeshi liendane na hali ya teknolojia ya Sasa?
Tazama maonesho yetu ni kuvunja matofali mkuu
Tuko Zama za kale, hata Askari wanaoajiriwa wengi hawana tija kwenye jeshi(hawajasoma, na waliosoma taaluma zao hazisaidii jeshi kusonga mbele kiteknolojia)
 
Si wapelekwe wakalime kuliko kupoteza nguvu kwenye matope. Hii nchi inamapori mengi yako bwerebwerere. Yapelekwe huko yakalime taifa letu liwe the food basket la eastafrica.

As long as Jeshi letu liko chini ya CCM siyo la kujivunia.

Yapelekwe tu yakalime huko hamna namna
 
Hahaha mkuu umenichekesha.
 
Aisee mbona jana hukutokea Stockholm (Näsby allé, Täby)?
 
Kweli kabisa mkuu, katika zama ambazo majeshi ya dunia yanakomaa kupunguza askari na ku employ teknolojia sisi majeshi yetu yamebaki kwa ajili ya maonesho ya sarakasi tu.
Wanakuwa wanataka kututisha sisi akina Kajamba nani, ili tusilete fyooo. Lkn MUNGU wetu ni mwenye nguvu kuliko hao.
 
Hapa yawezekana ikawa Monduli chuo cha maafisa wa jeshi; hawa ndiyo watakuwa maofisa wa Jeshi watarajiwa baada ya mafunzo.

Sasa hao wanaowapa trankadoso ni makoplo hasa hasa. (Wale wanavaanga V mbili). Usiombe kukutana nao mitaa yao ya kujidai utalia kama mtoto.

Cha kushangaza siku ukishapata commission ya Rais kwa afisa wa Jeshi kamili; hawa jamaa sijui huwa wanakwendaga wapi, na wachache wanaokuwepo arround wanakuwa na wema kupita kiasi.
 
Bado tuko Early Stone Age
Hivi wewe unajua maana hata ya neno "mwanajeshi"?

Hata Marekani na urusi hufanya mafunzo kama haya lazima wapitie, tofauti ya majeshi huja kwenye ubora wa silaha ( vifaa), mengine yote ni yaleyale tu,

Unataka kusema mwanajeshi wa USA hapigishwi drill kama hizo? Askarijeshi yeyote duniani lazima apitie mafunzo magumu ya kumfanya aweze kustahimili hali ngumu awapo kwenye majukumu yake,

Hayo yanatolewa kumfanya askari kuwa mvumilivu na mwenye utimamu. Vinginevyo nchi zilizoendelea wangeweka hata vilema jeshini kisa tu wana silaha bora za bofya tu, lakini sifa kuu ya mwanajeshi ni uvumilivu na ukakamavu.

Kabla hujakosoa ni vyema ukawa na ufuatiliaji hata YouTube utaona Marekani urusi hata Israel wanavyoandaa wanajeshi wao, hakuna tofauti na tz, tofauti ni kwenye teknolojia na silaha tu.
 
Si wapelekwe wakalime kuliko kupoteza nguvu kwenye matope. Hii nchi inamapori mengi yako bwerebwerere. Yapelekwe huko yakalime taifa letu liwe the food basket la eastafrica.

As long as Jeshi letu liko chini ya CCM siyo la kujivunia.

Yapelekwe tu yakalime huko hamna namna
Nani awapeleke wewe lofa nini, acha kudharau kazi za watu mjinga wewe.
 
Hivi wewe unajua maana hata ya neno "mwanajeshi"?

Hata Marekani na urusi hufanya mafunzo kama haya lazima wapitie, tofauti ya majeshi huja kwenye ubora wa silaha ( vifaa), mengine yote ni yaleyale tu,

Unataka kusema mwanajeshi wa USA hapigishwi drill kama hizo? Askarijeshi yeyote duniani lazima apitie mafunzo magumu ya kumfanya aweze kustahimili hali ngumu awapo kwenye majukumu yake,

Hayo yanatolewa kumfanya askari kuwa mvumilivu na mwenye utimamu. Vinginevyo nchi zilizoendelea wangeweka hata vilema jeshini kisa tu wana silaha bora za bofya tu, lakini sifa kuu ya mwanajeshi ni uvumilivu na ukakamavu.

Kabla hujakosoa ni vyema ukawa na ufuatiliaji hata YouTube utaona Marekani urusi hata Israel wanavyoandaa wanajeshi wao, hakuna tofauti na tz, tofauti ni kwenye teknolojia na silaha tu.
Mkuu umetoboa vizuri mno kula tano. Ila wengi wanahisi kwamba Majeshi yetu yanatumika na wanasiasa; kwamba ukakavu na uvumivu wote huo kimafunzo unawaishia waandamanaji kumi waliobeba vibago na makaratasi. (Hii ni mada ni nyingine anyway tuitafutie muda ijadiliwe).

Otherwise Majeshi yetu yote tunayapenda hatuna shida nayo kama ukiondoa hilo la kisiasa.
 
Mkuu umetoboa vizuri mno; ila wengi wanahisi majeshi yetu yasitumike na wanasiasa; kwamba ukakavu na uvumivu huo kimafunzo unawaishia waandamanaji kumi waliobeba vibago na makaratasi. (Hii ni mada nyingine anyway tuitafutie muda ijadiliwe).

Otherwise Majeshi yetu yote tunayapenda mno.
 
Tuandae jeshi litakalotulinda na matishio ya karne hii (jeshi la kisayansi) pia liwe ni taasisi yenye tija kwa kufanya shughuli mbalimbali za kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom