Kwanini hamkujituma hivi mlipocheza na Azam FC pamoja na watoto wa Kinondoni (KMC)?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,201
12,719
Jobe FC haina tofauti na kuku mgonjwa anayepakwa pilipili matakoni ili achangamke kisha apelekwe mnadani.

Kiukweli Jobe FC wanawashangaza mashabiki zao, kama wangecheza na Yanga SC, Azam na KMC Kama walivyocheza kwa morali mbele Jwaneng galaxy FC hakika wasingepigwa goli 5 na kudroo mbele ya Azam na KMC.

Ikumbukwe kuwa Jobe FC ilidondosha point 3 mbele ya Yanga, point 2 mbele ya Azam na pint 2 mbele ya KMC jumla point 7.

Mechi zote hizo Jobe FC walicheza chini ya kiwango/kiwango kibovu hakuna Morali ya wachezaji kujituma na kupelekea kilio kwa mashabiki zao.

Maoni Yangu: Jobe FC wanajituma endapo wataahidiwa bonus lakini tofauti na hapo hakuna Morali na kujituma kwa wachezaji wa Jobe Fc na ndiyo maana ndani ya ligi huwa wanadondosha point.
 
Jobe Fc haina tofauti na kuku mgonjwa anayepakwa pilipili matakoni ili achangamke Kisha apelekwe mnadani.

Kiukweli Jobe Fc wanawashangaza mashabiki zao, Kama wangecheza na Yanga sc, Azam na KMC Kama walivyocheza kwa morali mbele Jwaneng galaxy Fc hakika wasingepigwa goli 5 na kudroo mbele ya Azam na KMC.

Ikumbukwe kuwa Jobe Fc ilidondosha point 3 mbele ya Yanga, point 2 mbele ya Azam na pint 2 mbele ya KMC jumla point 7.
Mechi zote hizo Jobe Fc walicheza chini ya kiwango/kiwango kibovu hakuna Morali ya wachezaji kujituma na kupelekea kilio kwa mashabiki zao.

Maoni Yangu: Jobe Fc wanajituma endapo wataahidiwa bonus lakini tofauti na hapo hakuna Morali na kujituma kwa wachezaji wa Jobe Fc na ndiyo maana ndani ya ligi huwa wanadondosha point.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Hapo ulipo una kinyesi kimekujaa nyuma ya bukta
 
Mbumbumbu Fc ukitaka kuwa nyoosha dhibiti vitendo vyao vya kishirikina.
Ndio maana wakigundua kiwanja kinadhibitiwa kwenye ulozi watafanya Kila njia wasicheze apo, kwakua timu waliyonayo ni ungaunga.
 
Waambie.
 
Ndiyo ZAO hao
 
Back
Top Bottom