Hii ndio faida ya kujenga ukutaMererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii no kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
View attachment 1589168
Dah, Laizer kashaanza kutoa kafara?
Dah, Laizer kashaanza kutoa kafara?
Ngoja Hawa wanangu wakija humu watakuwa na info za kutosha
Ukatili mbaya sanaMererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
View attachment 1589168
Kwamba hukupenda wajenge ukuta?!Hii ndio faida ya kujenga ukuta
Baba wa watu yupo zake Zanzibar akitimiza majukumu yake ya Kampeni, tuache kudhania, ni dhambiHii inachochea chuki dhidi ya Rais na serikali yake. Magufuli mwisho wa nyakati ndo huu