VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

Inasemekana jamaa alikua na wanaohusika na kifo ni walikua hao inasemekana
 
Kwa sababu ni kawaida yao na Matukio ni kitu kinacho onekana /kusikika tofauti na Imani za kishirikina (Mkaafara) zisizo onekana au kuaminika na wengine.
Mbona juzi nyie chadema mmeuwa kada wa ccm njombe? Na mka choma ofisi za chadema arusha ili tu ccm ndo ionekane inahusika.
 
Hizi Kesi zipo Mahakamani ,subiri mpaka pale Mahakama itakapo thibitisha tuhuma hizi.
Hakuna hukumu ambayo mahakama imetoa kwa upinzani (chadema) bila upinzani (chadema)kuja kulalamikia mahakama ni CCM ata kama kesi sio za kisiasa.
 
Sina uhakika na chanzo changu cha habari. Ila zinazoenea chinichini ni kuwa marehemu alitaka kuvusha kigonga (jiwe) akiwa kaliweka mdomoni huku kavaa barakoa. Either aliuzwa na mtu au wajeshi walimshtukia, wakajipa hadhi ya mahakama na wakampa kichapo. Matokeo yake ndo jamaa akawafia na ndugu zake kuja juu na mengine ndo kama yanavyoendelea. Narudia tena, mimi sikushuhudia, nimeambiwa tu na mtu aliye karibu na walio karibu na tukio
 
Hakuna hukumu ambayo mahakama imetoa kwa upinzani (chadema) bila upinzani (chadema)kuja kulalamikia mahakama ni CCM ata kama kesi sio za kisiasa.

Sheria inatutaka hivyo ,hauwezi kusema Chadema wame husika na Mauaji/Chadema wame choma Ofice zao bila ya kuthibitishwa na Mahakama.
 
Back
Top Bottom