VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
 
Kesi hamna hapo kama kawaida ya Serikal ya CCM ikihusishwa na jambo ,Mwangosi aliuwawa mchana (R.I.P.) Dada yetu Akwilina (R.I.P)nae aliuwawa kweupe peee matokeo yao wote hawa kila Mtu anayajua.Yani Kifo kimeshakuwa jambo la kawaida kabisa sawa sawa na Binadamu kumkanyaga Mende.Sawa twendeni tu tutafika Siku moja.
 
Back
Top Bottom