Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Wabaya wake mkajinyonge!
Mungu ana maajabu yaake.
Akili yangu inaniambia kilichomtokea huyu MP na mpaka sasa alipofikia kuna kitu kitakuja kuchange hapa Tz hasa kwenye nyanja ya siasa.
Anyway, muda utasema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ashukuliwe, lakini ushauri wangu ni kwa aache kukulakula hovyo kusudi uzito upungue na mifuta ya tumbo ipungue - maana bila hivyo mifupa ya mguu bado miteke itashindwa kubeba huo uzito. Na mwisho ata teguka kiuno. Hasa hasa aache bia, zina industrial sugar inayo mwongezea uzito. Halafu, chakula amwambie mkewe apike. Mivyakula ya migahawani siyo vizuri kwa mtu anaye jaribu kujenga mwili upya.Tunazidi kumuombea mheshimiwa Lisu
Kabisa. Unajua starehe ulaya ni gharama sana...
Pamoja na wewe labda kuwa Daktari, aliye karibu naye ambaye ndo anamtibu lazima anamshauri juu ya dieting. Wewe huku bongo unajuaje chakula anachokula mtu aliyoko maili 5000? Acha unafiki!Mungu ashukuliwe, lakini ushauri wangu ni kwa aache kukulakula hovyo kusudi uzito upungue na mifuta ya tumbo ipungue - maana bila hivyo mifupa ya mguu bado miteke itashindwa kubeba huo uzito. Na mwisho ata teguka kiuno. Hasa hasa aache bia, zina industrial sugar inayo mwongezea uzito. Halafu, chakula amwambie mkewe apike. Mivyakula ya migahawani siyo vizuri kwa mtu anaye jaribu kujenga mwili upya.
Wabaya wake mkajinyonge!