Video:Lissu huyo mbioni kutembea bila msaada wa magongo

Ashukuriwe Mungu muweza aliyeweza kumlinda na kumpigania hadi kufikia hatua hii.

Kuna wakati unaweza kupitia changamoto na mitihani mingi ambayo inaweza kukukatisha tamaa, lakini ukiona haya anayopitia Mhe. Lissu unasema Asante Mungu🙏🙏🙏
 
Tunazidi kumuombea mheshimiwa Lisu
Mungu ashukuliwe, lakini ushauri wangu ni kwa aache kukulakula hovyo kusudi uzito upungue na mifuta ya tumbo ipungue - maana bila hivyo mifupa ya mguu bado miteke itashindwa kubeba huo uzito. Na mwisho ata teguka kiuno. Hasa hasa aache bia, zina industrial sugar inayo mwongezea uzito. Halafu, chakula amwambie mkewe apike. Mivyakula ya migahawani siyo vizuri kwa mtu anaye jaribu kujenga mwili upya.
 
Tuendelee na mchango jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Unajua starehe ulaya ni gharama sana...
Kunywa mpaka urembue hivyo si hela kidogoView attachment 1058243
FB_IMG_15532527943361814.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ashukuliwe, lakini ushauri wangu ni kwa aache kukulakula hovyo kusudi uzito upungue na mifuta ya tumbo ipungue - maana bila hivyo mifupa ya mguu bado miteke itashindwa kubeba huo uzito. Na mwisho ata teguka kiuno. Hasa hasa aache bia, zina industrial sugar inayo mwongezea uzito. Halafu, chakula amwambie mkewe apike. Mivyakula ya migahawani siyo vizuri kwa mtu anaye jaribu kujenga mwili upya.
Pamoja na wewe labda kuwa Daktari, aliye karibu naye ambaye ndo anamtibu lazima anamshauri juu ya dieting. Wewe huku bongo unajuaje chakula anachokula mtu aliyoko maili 5000? Acha unafiki!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom