Video:Lissu huyo mbioni kutembea bila msaada wa magongo

No way walahi
Kosa kubwa alilofanya ni kuisaliti nchi yetu Tanzania
Na kushirikiana na mashoga ambayo ni laana kuu kwa Mwenyezi Mungu


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafikiri nyie wenye roho za kiuaji ndio wasaliti halafu wajinga ni wale wanaoenda na bakuli kuombaomba kwa mashoga. Shithole.
 
Kupotea kwa Ben Sanane na hili lililomtokea Mh Tundu Lissu, yalivuruga sana akili za watu ambao hawakutaka kuamini kwamba matendo kama haya yangefanyika katika Tanzania yetu.

Ukichanganya hayo, na mengi tunayoshuhudia katika uonevu wa dhahiri, ukandamizaji, kuchochea utengano katika jamii n.k.; hayo ambayo yanayofanyika yaonekane kuwa mazuri kwa taifa yanakuwa hayana maana.
 
Back
Top Bottom