Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

Mkuu umemaliza kila kitu. Barikiwa.
Kazi ya balozi wa Tanzania huko ni kulinda benki na kucheza gwaride kama mapolisi? Kwanini mwendazake aliwaachia majukumu yote mabolizi? Heb u tumieni kichwa basi katika hadaa zenu.
 
Magufuli alidanganya na kupotosha mangapi? Au kwa vile yeye alikuwa "yesu" wenu? Stupid
 
Acha ushamba mkuu..mimi ni anti-magu 100%....nachoongea hapa ni facts..sio kila anachosema Lissu ni ukweli.
Magufuli alidanganya na kupotosha mangapi? Au kwa vile yeye alikuwa "yesu" wenu? Stupid
 
..naitilia mashaka hoja yako.

..ungesema tu kwamba Maraisi wachache ndio hupata fursa ya kukutana na Raisi wa Marekani wakati wa mkutano wa UNGA unaofanyika kila mwaka.

..Marekani hupenda kuwa karibu na Maraisi wenye ushawishi ktk ukanda na maeneo wanakotokea.

..Kwa sasa hivi Rais SSH hana ushawishi ktk siasa na diplomasia za Afrika hivyo sio rahisi kwa Marekani kumchukulia kwa uzito na kuwa karibu naye.
 
Acha ushamba mkuu..mimi ni anti-magu 100%....nachoongea hapa ni facts..sio kila anachosema Lissu ni ukweli.
Hizo facts zako hukuziona kwa Magu? Magu alituambia anajenga miundombinu kwa pesa zetu za ndani, kumbe ni mikopo na misaada kutoka nje, hukuona hilo kwenye facts zako? Acha upuuzi basi
 
lissu haaminiki tena, halaf kwa hizi hojs wapinzani ndo mnataka tuwape dola?? leteni mikakati yenu mkipata dola mtafanya nn siyo majungu ya aliyekuwepo anafanya nn
 
Mkuu huyu Hichilema alichaguliwa lini? na walimfanyia mpango wa kuingia white house na kuonana na viongozi waandamizi wa Marekani lini?
 
Folks of your kind ultimately got to get back to the class cause there’s plenty you know nothing about, I suggest you be my guest…..
8 Black Inventors Who Made Daily Life Easier | HISTORY
Akili zako hazina akili , unapuyanga tu huelewi chochote
KWAHIYO TUWAABUDIE WAZUNGU! Kwa maneno mengine Nyerere alikuwa mpumbavu na mjinga kudai uhuru, yaani tungeendelea kutawaliwa au sio! Du, kweli shule mali.
Nye nye nye .. Shule mali ehee Nyerere aliodai uhuru kwa wazungu ehee..
Jiangalie kwenye kioo huna tofauti kabisa kabisa kwa muonenekano mpaka akili..

Mkuu huyu Hichilema alichaguliwa lini? na walimfanyia mpango wa kuingia white house na kuonana na viongozi waandamizi wa Marekani lini?
Wanasema eti Jo alikuwa anaumwa. Sasa si ndio ulikuwa muda mzuri wa kwenda kumpa pole Mgonjwa??

😅😅😅
 
Hizo facts zako hukuziona kwa Magu? Magu alituambia anajenga miundombinu kwa pesa zetu za ndani, kumbe ni mikopo na misaada kutoka nje, hukuona hilo kwenye facts zako? Acha upuuzi basi
Sijawahi kuwaza kama jf kuna mbumbumbu kiasi hiki...sorry to say that.

Mimi naongea kauli ya Lissu wewe unaleta mambo ya Magu kuwa muongo..inahusiana vipi?
 
Akili zako hazina akili , unapuyanga tu huelewi chochote

Nye nye nye .. Shule mali ehee Nyerere aliodai uhuru kwa wazungu ehee..
Jiangalie kwenye kioo huna tofauti kabisa kabisa kwa muonenekano mpaka akili..

View attachment 1972997
Wewe unawaona wazungu walodondokewa na utajiri tu ghafla bin vuu bila kula msoto pengine hata zaidi yetu, nimekuwekea maisha ya wazungu sehemu malimbali, Arizona USA, England, France n.k…. Miaka ya 1900s sio hata 1600 au 1000 huko…. Jitafakari, hatuko mbali sana kimaendeleo japo hatuko vizuri…

Imagine na Camera zilishakuwepo tayari, wewe ukionyeshwa Nairobi ya maghorofa hautaamini ukiambiwa kuna slam za kibera hapo hapo Nai… kuna Wazungu mpaka kesho wamechoka kushinda hao unaowaita nyani, mpaka unajiuliza hawa nao ni jamii ili ile ya kina Isaac Newton!
 
Akili yako haina akili.
 
Ukimsikiliza mwendawazimu na wewe unakuwa sawa na mwendawazimu
 
Tundu ni fabricator mzuri sana. Alikuwa washington akiwafwatilia viongozi wake kwamba wamekuja kufanya nini akakuta wamekuja kupiga picha na viongozi wa mataifa makubwa.

Sisi tumefwatilia kila kitu ikiwemo jitihada za raisi kutangaza utalii na kuonana na viongozi wengi kulingana na ratiba yake alipokuwa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…