SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 2,603
- 4,028
Huyu jamaa nilileta humu unabii wake watu wakanidharau. Lakini unabii wake umekuwa ukipita mulemule
Ndiyo imetokea sasa. Hata ile form moja tu haijatolewa🤣🤣🤣🤣Haijawahi kutokea 🐼
Intelijinsia ya akina Murilo iko wapi? Imelala!Wakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Hadi rahaWakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Raha sanaWakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Yule malaya akipita nahama nchiWakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Daah wamenikera maana ilipaswa tuone ngeu na mitama ya kutoshaWakuu!
Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
Si wamefanyia hapo tabata shule jirani kabisa na kituo cha police. Au police ni kwa ajili ya chadema tu.Wakuu!