VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

Acha unafiki wewe wakujifanya unamtakia meme Halima Mdee kuzidi wanachadema! Hahahahahahah uzuri tunawafahamu kwa uchonganishi!
Tangia lini ukawa na uchungu na mwanachadema wewe!

Hatuto yumbishwa na propaganda hizi kamwe!

Jamani,
Agenda siyo Mdee, ni Josephine Mushumbusi. Mdee ni mbunge Halali wa Jimbo la Kawe, je, Mushumbusi ana nafasi gani kwenye chama?
 
Of course wote tunapenda mabadiliko lakini swali ni kuwa wewe kama kijana ukiamua kuzunguka TZ nzima, ni nani atakayegharimia safari zako hizo? Lakini pia chama lazima kiwe na nidhamu ya nani anaweza kuzungumza kama msemaji wa chama, sio kila mtu mwenye uwezo wa kusema aseme! ebo!
Najitolea tuu mbona wewe umejitolea gari ukawapa Bavicha na wapo wengi ninao wafahamu mimi wamejitolea mbona wewe umejitolea mambo mengi tuu
 
Naona masalia mmeingilia huu uzi sitachangia tena.

Watu mmefukuzwa mambo ya Chadema yanawahusu tena nini?

choir master bana! Yaani hoja zikikuishia kila mtu anakua salia!

It Freshthinking, thinking outside the box la vyama. Kuwa na fikra huru bro.

Fikra mgando ndizo ambazo zinapelekea wabunge wetu kukataa hoja kwa vile imeletwa na mpinzani au wa chama tawala. As a result tunaviza maendeleo yetu wenyewe.
 
Jamani,
Agenda siyo Mdee, ni Josephine Mushumbusi. Mdee ni mbunge Halali wa Jimbo la Kawe, je, Mushumbusi ana nafasi gani kwenye chama?
Wananchi wengi wengi tuu wanafanya kazi za chadema na sio wananchama na wala hawamjui hata kiongozi mmoja itakuwa josephine aliyezunguka na Slaa nchi nzima 2010
 
Najitolea tuu mbona wewe umejitolea gari ukawapa Bavicha na wapo wengi ninao wafahamu mimi wamejitolea mbona wewe umejitolea mambo mengi tuu

Mbona nimejitolea na chopa au bado haijafika TZ kutoka Uingereza?
 
choir master bana! Yaani hoja zikikuishia kila mtu anakua salia!

It Freshthinking, thinking outside the box la vyama. Kuwa na fikra huru bro.

Fikra mgando ndizo ambazo zinapelekea wabunge wetu kukataa hoja kwa vile imeletwa na mpinzani au wa chama tawala. As a result tunaviza maendeleo yetu wenyewe.
wewe mbona unsasupport kubwa ya wabunge wote kwa unafiki wako lakini safari hii una muhongo lazima useme ukweli kuhusu wizi ulioshiriki wa kuiibia tanesco
 
Tatizo la Chadema marufuku kuhoji ukihoji tu unafukuzwa chama na unaambiwa masalia.
 
Kazi ya ruzku ni kuimarisha chama hujui ccm wanahonga makada wa cdm ili wabomoe! Mbona. Vasco da gama yuko naenda kuangalia manchester na kwenda kumbembea canada je anatumia ruzuku au kodi za walalahoi
 
wewe mbona unsasupport kubwa ya wabunge wote kwa unafiki wako lakini safari hii una muhongo lazima useme ukweli kuhusu wizi ulioshiriki wa kuiibia tanesco

Lwesye jadili hoja iliyopo mezani kwa sasa.

Huko unakokwenda nimeshachoka kutoa ufafanuzi kwamba Freshthinking ni independent ID inayochangia objectively.
Huyo unayemdhania siye.

Kama mawazo yangu yanafanana na ya kwake, sio tatizo unaweza kupingana au kukubalia nayo badala ya kufanya guess work haiatkusaidi.

Josephine katika hiyo mikutano ni kweli anatumia rasilimali za chama? Kama ndivyo yeye akiwa kama nani? Kwani kuna ugumu hapo?
 
Kazi ya chama simpaka ifanywe na viongozi wa chama, kazi ya chama inaweza kufanywa na mwananchi yeyote mwenye uchungu na nchi yetu na anaye ipenda chadema na ndivyo anavyo fanya josephine.

Jamani,
Agenda siyo Mdee, ni Josephine Mushumbusi. Mdee ni mbunge Halali wa Jimbo la Kawe, je, Mushumbusi ana nafasi gani kwenye chama?
 
Tatizo la Josephine ni kwamba kwa pesa hizohizo za Chadema pia anazunguka kufanya kazi za NGO yake ya IGEHETA, halafu anapeleka ripoti kwa wafadhili kuwa ametumia pesa za wafadhili. Huu ujanjaujanja unaichafulia Chadema jina kwa wanaojua kinachoendelea.
 
Mwacheni shemeji yetu
................Kama tulivyowaachia BMW na Ukoo wa JK!
SAM_2173.JPG

​
 
Tatizo la Josephine ni kwamba kwa pesa hizohizo za Chadema pia anazunguka kufanya kazi za NGO yake ya IGEHETA, halafu anapeleka ripoti kwa wafadhili kuwa ametumia pesa za wafadhili. Huu ujanjaujanja unaichafulia Chadema jina kwa wanaojua kinachoendelea.

Unaspin kwa sababu umeguswa si unataarifa zote nani kati yetu hapa ataitisha kikao kwenye JF ndio maana nimesema wewe ni bua kwa sasa huna thamnai huwezi kupeleka hoja ikajadiliwa kwenu matokeo yake unakuja na iD kibao unaniambia munafanana kuandika
 
mbona hapa hakuna chochote haya mawazo ya kuchuna chama yanatoka wapi, kila mwenye uwezo na mvuto kupiga debe na aende apige ilimradi tu anaweza kushawishi.
 
Unaspin kwa sababu umeguswa si unataarifa zote nani kati yetu hapa ataitisha kikao kwenye JF ndio maana nimesema wewe ni bua kwa sasa huna thamnai huwezi kupeleka hoja ikajadiliwa kwenu matokeo yake unakuja na iD kibao unaniambia munafanana kuandika

Jadili hoja.Kuna kikao kilichompa Josephine fursa ya kutumia pesa za chama? Je, kwenye vitabu vya matumizi pesa hizo zinaandikwaje?
 
Lwesye jadili hoja iliyopo mezani kwa sasa.

Huko unakokwenda nimeshachoka kutoa ufafanuzi kwamba Freshthinking ni independent ID inayochangia objectively.
Huyo unayemdhania siye.

Kama mawazo yangu yanafanana na ya kwake, sio tatizo unaweza kupingana au kukubalia nayo badala ya kufanya guess work haiatkusaidi.

Josephine katika hiyo mikutano ni kweli anatumia rasilimali za chama? Kama ndivyo yeye akiwa kama nani? Kwani kuna ugumu hapo?
Kaka tumeambiwa hapa tutumie akili zetu kwenye jamvi hili na tutumie utambuzi wetu kakae na wenzio kama limekukela mujadili muwekane sawa hapa JF hakuna vikao vya maamuzi hakuna kucheck na kubalance story iko one sided kumtendea haki mtuhumiwa itisheni vikao vyenu bwana haya ni mambo ya kiutendaji au na wewe kaka ndio bomu umelipua baada ya kulipuliwa tatizo ukikasirika mara moja unakamatika kuna wataalamu wa maandishi wanakutambua kaka kwamba wewe ni nani kama umechoka na huwapendi au unatumika njia unazotumia dhaifu mno
 
Back
Top Bottom