Video:John Heche amlipua Waziri Mpango Bungeni

Video:John Heche amlipua Waziri Mpango Bungeni

Hawa maprofesa jamani wanapata shida(wanadhalilika) kwenye masuala haya ya siasa ukizingatia inabidi wajibu hoja bila kumpa changamoto mkulu.
Ushauri wangu: Ni bora wangerudi vyuoni kufundisha sababu bado wana mchango mkubwa. Ilinisikitisha sana Dr.Mpango alipopewa changamoto ile ya makontena na yule mkuu wa mkoa,yaani alikuwa na hasira kisa yule ndugu.
 
Hataree sana! Dr Mpango atapata tabu sana kuendelea kufanya kazi na Magu maana inabidi awe muongo na bahati mbaya takwimu za uchumi huwa zipo wazi na haziongopi ni vyema akajiuzulu kuliko kupoteza heshima yake kutetea upuuzi
 
Na since Mpango sio mwamasiasa mzoefu wkt Heche anapiga kunako mzee wa watu amejikalia zake kimyaaa ingekua ni wale mawaziri type ya Jenista Mhagama taarifa ingeombwa hapo mpk Heche angekatiza hotuba yake hahahah
 
Raisi wangu MAGUFULI yoote tutasifia na kiukweli umefanya mengi mazuri....

Wananchi wako wanaotegemea kilimo wanalia kilio Cha mbwa Koko naongea kutoka moyoni..... Unaliua hili kundi la zaidi ya 70%

Endelea kusifia tu mkuu,ajira zenyewe ni tia maji tia maji tu
 
Duh...Chadema si mchezo, kwa hali lazima wawe hatari kuliko Musiba.....[emoji1][emoji1][emoji1]
Le mutuz, Musiba wanajipanga kumuhujumu Heche ni vyema mkiwaona huko mitaani muwaonye mapema kuwa njama zao zimejulikana mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom