Daaaah ametupa majabali kwa mpango yenye tani zakutosha
Unaunga mkono? You must be sick!Kwa hoja kama hizi naungana na kilichofanywa na Nape Nnauye katika kuhakikisha bungeni haliko LIVE.
Mengine wananchi wasione na kujua walah
Elimu bure hujaona, vituo vya afya kila Halmashauri kwako sio ishuHela zinaishia kwenye ndege na .miradi ya Chato!
Sijaoni hiyo Elimu bure michango mashuleni iko pale pale. Serikali hii imefeli miserably kwenye kilimo.Elimu bure hujaona, vituo vya afya kila Halmashauri kwako sio ishu
Inaniuma sana kuhusu wafanyakazi wa uma. Maisha yamekuwa magumu sana. JK pona alikuwa anaenda kubembea mpaka huko visiwa vya Bahamas na maisha yalikuwa yanaenda vzr sana.
Mh. Heche huwa namuelewa sana.