Mh Heche kapigilia msumari wenye kutu,utosini[emoji1321]♂️
Natamani nngepata video yenye majibu ya mh. Mpango akijibu hoja hizi
Hawa ndio wanaotakiwa kuongea Bungeni. Sio wale ambao kila mara, 'naipongeza serikali, nampongeza Rais'; Wanapongeza hata vitu visivyo na mantiki kwa nia tu wasikike lakini hakuna cha maana wanachoongea.Natamani nngepata video yenye majibu ya mh. Mpango akijibu hoja hizi
Mnawinda watu??
Dah.....huyu baba....si mchezo.....khaaaaa.....[emoji56][emoji56][emoji56][emoji1783][emoji1783][emoji1783]Mh Heche kapigilia msumari wenye kutu,utosini[emoji1321][emoji3603]
Hujamuelewa, ana maanisha walizuia bunge kuwa live ili tusipate kujua mabaya yao.Unaunga mkono? You must be sick!
Hata ww waweza kuweka baada ya kusikilizaDo not be biased, inapendeza pia mkiwa mnaweka text kwa faida ya wasiosikia
Si ni miradi ya wananchi , kuliko waliokula za mzee sabodoHela zinaishia kwenye ndege na .miradi ya Chato!
Vyeti wengi tu Hapana ! Mbowe mwenyewe div oMpango mwenyewe amekaa bungeni Prof wangu amechoka jamani. Kama anashurutishwa na Bashite ambaye hata cheti hana na bosi wao anajishekeshachekesha tu.
Mpeni majibu Genius wenu Kibajaji amjibu Mh. Heche.Vyeti wengi tu Hapana ! Mbowe mwenyewe div o