FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
- Thread starter
- #21
Sasa kama tunaendelea na uzalishaji katika sekta zingine shida iko wapi? Kama utalii unakwama basi huu ndio muda wetu wa kujiimarisha katika sekta za kilimo, ufugaji na uvuvi, na bahati nzuri mvua zimekuja za kutosha wakati muafaka, maana hizo ni bidhaa ambazo kwa siku za usoni zitakuwa na demand kubwa sana, hata hao waliokwenye lockdown watahitaji products za sekta hizo, huu si muda wa kukaa na kuombea Magufuli ashindwe ili mumzodoe, ni nchi yetu sote hii, nakuona jinsi ulivyo na shauku ya kuona tunaumbuka, wiki 2 mlizosema mnaona hazitoshi, sasa mnaanza tena miezi 6, haya ngoja tuone..Namba hazidanganyi mkuu. Muda ukifika unaumbuka tu. Nchi inahitaji fedha za kigeni, unadhani kuuziana chapati ndiyo kutaenda kulipia madeni ya SGR? Na huo utalii uliosimama, kipi kitafanyika kufidia hilo gap? Na huduma za jamii zilizosimama kama michezo na elimu, unadhani zitafunguliwa lini na kwa utaratibu gani?
Kuwa serious kidogo basi.