We are telling them please stop!
Hahahaha shame on us( Tanzanians)
We are telling them please stop!
...kumbe kuna magamba yana akili kama zetu? nimeshangaa kweli! ngoja nikuumize zaidi kwa kukumbusha lile dege la Qatar lililopakia sio pembe, bali wanyama wazimawazima. Usalama wa taifa wako busy kumdhibiti Dr asifanikiwe kuingia ikulu asije akaharibu madili yao.Polisi inabidi wakamate hawa watu mara moja
Kutokamata hawa watu itakuwa aibu kwetu, hakuna nushahidi mkubwa zaidi ya huu.
Inauma sana kuona maliasili yetu inapotea hivi hivi. watu kama hawa wanastahili kifungo cha maisha
Ile operesheni tokomeza mimi binafsi niliipenda. Kuna kipindi Gewe aliwahi fanya operesheni kama hiyo Iringa na ilifanikiwa sana
Hawa majangili wakikutana na askari wanamuua, kwa nini wao wasipigwe risasi za makalio??
View attachment 138578View attachment 138578
hii ni kazi ya kinana na kijana wa jk ridhiwani, Rais aseme nini?..........wanae yuko kazini
kufikia mwaka kesho anapong'atu atakuwa amewamaliza
Tatizo Watanzania tunajivisha Uchizi! Nani asiyejua kuwa,baadhi ya watuhumiwa wa biashara ya meno ya Tembo wamefichwa kwenye uongozi wajuu wa vyama vya siasa nchini? Halafu eti wanatuma askari porini kuwasaka wakati watuhumiwa wameachwa mjini! Haya pamoja na kutumia gharama kubwa ya kulipa askari,wamekamtwa wangapi?Acheni hizo bana!Polisi inabidi wakamate hawa watu mara moja
Kutokamata hawa watu itakuwa aibu kwetu, hakuna nushahidi mkubwa zaidi ya huu.
Inauma sana kuona maliasili yetu inapotea hivi hivi. watu kama hawa wanastahili kifungo cha maisha
Ile operesheni tokomeza mimi binafsi niliipenda. Kuna kipindi Gewe aliwahi fanya operesheni kama hiyo Iringa na ilifanikiwa sana
Hawa majangili wakikutana na askari wanamuua, kwa nini wao wasipigwe risasi za makalio??
Inashangaza jinsi ya wanahabari kutoka nje wanaweza kuja hapa kwetu kufuatilia, kuchunguza na kisha kuandika habari kama hizi wakati waandishi wetu hapa wapo na mara nyingi wanaandika habari ambazo hazina tija na taifa hili bali huandika na kushabikia mambo ambayo yanakwamisha maendeleo ya Watanzania!
Hicho hapo
Hivi kazi ya wanausalama wa Taifa letu ni ipi zaidi? Yani nyara za serikali zinapukutika mpaka waandishi wa habari wa nje wanaweza kung'amua taarifa kama hizi kirahisi.