Video inayomuonesha mtuhuniwa wa mauaji ya mwangosi

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,090
Kwanza shukrani kwa mwenye Video hii Khaleed Mohd, na mitandao yote ITV na Star TV
hii ni kwa waliokosa kuangali TV hizo mm sijamuona LIVE
2.jpg



Video inayomwonesha mtuhumiwa wa Mauaji ya Mwangosi akiwa mahakamani kwa usiri mkubwa - wavuti
 
hivi tume imefikia wapi...!!? Maana hizi tume sku hizi zinzundwa ili kunyoosha taarifa na sio kutafuta ukweli..!!!
 
waandishi ni kiboko iko siku watamnasa LIVE hata km sio mwenyewe watamuanika tu, kwa sababu leo walifichwa kuhusu kupelekwa Mahakamani lakini wasamaria wema wakawaambia waandishi mahali aliko, walifichwa kina zombe!!
Hebu nfuateni huko Mahabusu
 
wahehe wachukue kile kiatu wakamuanzishie kijadi,kwanza pengine wanatuzunguka tutajuaje ni yeye isije kuwa ni changa la macho.
 
Sasa akijifikiria sasa hivi nadhani anajutia maamuzi yake!! Hakukuwa na ulazima wowote wa kulipua bomu tumboni kwa Daudi, wala FFU hawakuwa kwenye mapambano yeyote zaidi ya bangi zao na visenti vya sisiemu.
 
kwa hiyo ndo huyo alievaa kijinzi? polisi wa tz bana sijui mafunzo hua wanapata wapi? unaezaje kutangulia na kumuacha mtuhumiwa nyuma? btw, kama ndie aliefanya, sielewi why are they wasting taxpayers money and time..ushaidi upo na kila mtu ameona na picha zipo. it is a matter of killing the fly and move-on.
 
Naona kuna tatizo hapa maana haifunguki na katika page nyingine uliyopendekeza nayo haifunguki, msaada tafadhali...
 
Back
Top Bottom