The Stress Challengerr
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 2,478
- 6,764
Siyo Mungu tu bali Mungu wa kweli.Nasimama na Israel taifa teule la Mungu
👍Aliye HAISiyo Mungu tu bali Mungu wa kweli.
Kuna mijitu mipumbavu sana Afrika hii
Mambo ya waarabu na wayahudi yanawahusuje
God bless and protect Israel.Kuna mijitu mipumbavu sana Afrika hii
Mambo ya waarabu na wayahudi yanawahusuje
Inajidhihirisha Israel ni moto tena moto wa kuotea mbali.kama ndo hivyo bendera ilitakiwa isiungue
Tuko tayari kufa kwa ajili ya wayahudi na taifa takatifu teule la Israel. Hilo halipingiki na halikwepeki. Bora kusimama na kubaguliwa na Israel watu wa Mungu wa kweli utapata baraka. Kuliko kusimama na usibaguliwe na nchi na jamii UCHWARA!Acha tu... Eti muafrika unasimama na Israel wakati wao wanabagua Waisrael wenye asili ya Afrika. Wako mitaani kule hawana pa kuishi kwa kutengwa.
Liko wapi taifa la shetani?Nasimama na Israel taifa teule la Mungu
La shetani ndo hılohılo unalolıtetea na kulıshabıkıa.Liko wapi taifa la shetani?
Sisi tulishakuwaga kama makondoo tuAcha tu... Eti muafrika unasimama na Israel wakati wao wanabagua Waisrael wenye asili ya Afrika. Wako mitaani kule hawana pa kuishi kwa kutengwa.
HongeraGod bless and protect Israel.
Huniambii kitu kuhusu Yesu na Israel.
JESUS and ISRAEL forever!