Video ikimuonesha MuIran akichoma moto bendera ya Israel badala yake ikamchoma moto mwenyewe

Tuko tayari kufa kwa ajili ya wayahudi na taifa takatifu teule la Israel. Hilo halipingiki na halikwepeki. Bora kusimama na kubaguliwa na Israel watu wa Mungu wa kweli utapata baraka. Kuliko kusimama na usibaguliwe na nchi na jamii UCHWARA!
Wewe na nani?
 
Haaa,,,jamaa moto umemfata mpaka unamkimbiza,ila Israel taifa la Mungu sio hawa mashoga wanaojiita Israel wanaompinga Bwana Yesu.
 
Tuko tayari kufa kwa ajili ya wayahudi na taifa takatifu teule la Israel. Hilo halipingiki na halikwepeki. Bora kusimama na kubaguliwa na Israel watu wa Mungu wa kweli utapata baraka. Kuliko kusimama na usibaguliwe na nchi na jamii UCHWARA!
Huu ni mtizamo wako ama wa watu wengi??.
 
Nasimama na Israel taifa teule la Mungu
Lakini unajua takribani asilimia 70 za waisraeli ni wayahudi na hawautambui ukristo na wanamchukulia yesu kama mtu aliyekuja kuvuruga mipango yao ya kutawala na hawampendi kabisaa??? Na hawaitambui biblia kabisa na kitabu chao kinaitwa Talmud
 
Hiyo Haijalishi mkuu kikubwa ni mibaraka baas!

JESUS and ISRAEL First and Forever!

Huniambii kitu kuhusu YESU na Israel!
 
Inakuwaje wanajamvi!

Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe.

Mungu mwenyewe kasema ukiibariki Israel utabarikiwa. Ukiilaani utalaaniwa.

Si mchezo.

Ni Israeli ipi unayo izungumzia wewe ? Hii ya chama za Wazayuni ?

Lini Israeli ilikuwa Taifa kabla ya mwaka 1948 ? Haya maandiko huwa mnayasoma kisengemnege nini ?

Genge la wahuni na wazandiki ndiyo unaliita Taifa Teule ? Mizani yako ni ipi ?
 
Hiyo Haijalishi mkuu kikubwa ni mibaraka baas!

JESUS and ISRAEL First and Forever!

Huniambii kitu kuhusu YESU na Israel!
Wewe nakufananisha na mtu fulani aliwahi kumpenda Mwanamke kupita kiasi,na mwanamke huyo ukimuuliza anasema uampendiml mtu huyo,mpaka akapewa jina "Majnuni Layla"
 
Inakuwaje wanajamvi!

Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe.

Mungu mwenyewe kasema ukiibariki Israel utabarikiwa. Ukiilaani utalaaniwa.

Huo uteule wa Mungu kwa Israel ulimsikia lini Mungu akifanya huo uteuzi?
 
Acha tu... Eti muafrika unasimama na Israel wakati wao wanabagua Waisrael wenye asili ya Afrika. Wako mitaani kule hawana pa kuishi kwa kutengwa.
Yaan unabaguliwa kwako..unaitwa nyani..unanyimwaa haki zako..alaf ww unashabikia wao..ngozi nyeusi ni species ya ajab kuwah kutokea dunian..ni watu waliolaaniwaa moja kwa mojaa..shenzi kabisaaa..haswaa kama hawa wanaoshabikia wayahudi uchwara na waarabu..shenzi kabisaa watu kama hawaaa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom