Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,198
viongozi wa serikali ya ccm akili zao zimeganda mkuu na kama wakiendelea kutuongoza nchi itakuwa masikini milele.Tunaagiza samaki kwa sababu hatuna samaki, au tunaagiza samaki kwa sababu hatuna uwezo wa kuvua samaki? au tunaagiza kwa sababu tusipoagiza tutakuwa kama hatuna uwezo wa kuagiza?
hakuna sababu ya kuagiza samaki nje na asante kwa video manake kama usingeweka ningekubishia vibaya sana.hii ni aibu kubwa kwa viongozi wetu,najua hawajali hata kidogo kwa vile wako kwa manufaa yao binafsi na sio taifa.