The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Absolutely, UtopoloUtopolo tupu!!
Utakufa kwanza wewe mkuu acha uchuro.Absolutely, Utopolo
Hayati Mwendazake DC Sabaya alifanya utopolo mtupu na sasa una gharimu reputation yake, familia yake na rafiki zake...
Nawe jifunze. Itumie LEO vizuri huku ukijua kuna KESHO pia hata kama utakuwa umekufa...!
Utakufa kwanza wewe mkuu acha uchuro.
Sabaya ni vema akafungwa aishi jela , akibaki uraiani usalama wake waweza kuwa mashakani , huyu lazima alipishiwe kisasi .upuuzi na propaganda za Chadema hizi
lema asingemkimbia basi.Sabaya ni vema akafungwa aishi jela , akibaki uraiani usalama wake waweza kuwa mashakani , huyu lazima alipishiwe kisasi .
Sijui kama umenielewalema asingemkimbia basi.
By the way sisi watoto wa Chuga tumewapokea Lema na Sabaya mjini...
wewe umenielewa?Sijui kama umenielewa
MATAGA njoo huku wanamchafua sabayaa!!!Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli...
Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO...
Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI..
Katika video hii (kwa hisani ya LEO TV & Malisa GJ) ni mkusanyiko wa matukio mabaya na maovu aliyoyatenda huyu aliyekuwa DC wa HAI, Ole Sabaya...
Yote haya aliyafanya kwa kutumia vibaya madaraka (abuse of power) yake ya u - DC kufanya ujambazi wa kidola kuiba na kutesa na kuumiza mahasimu wa kisiasa wa CCM na hasa Hayati Rais Magufuli huku akitamba kuwa ameagizwa na huyo aliyekuwa Rais...
Swali: Kama haya ni kweli, huyu mtu atawezaje kuiepuka jela..? Funzo kwa viongozi mliopo sasa. Tumieni mamlaka zenu vizuri. Don't abuse your power and authority. Kumbukeni CHEO NI DHAMANA TU, sio chako...
View attachment 1784988
Angemtesa Baba au Mama yako ndio ungejua kama ni Upuuzi au Laaupuuzi na propaganda za Chadema hizi
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahi kwa kusimamishwa kazi Sabaya..Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli...
Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO...
Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI..
Katika video hii (kwa hisani ya LEO TV & Malisa GJ) ni mkusanyiko wa matukio mabaya na maovu aliyoyatenda huyu aliyekuwa DC wa HAI, Ole Sabaya...
Yote haya aliyafanya kwa kutumia vibaya madaraka (abuse of power) yake ya u - DC kufanya ujambazi wa kidola kuiba na kutesa na kuumiza mahasimu wa kisiasa wa CCM na hasa Hayati Rais Magufuli huku akitamba kuwa ameagizwa na huyo aliyekuwa Rais...
Swali: Kama haya ni kweli, huyu mtu atawezaje kuiepuka jela..? Funzo kwa viongozi mliopo sasa. Tumieni mamlaka zenu vizuri. Don't abuse your power and authority. Kumbukeni CHEO NI DHAMANA TU, sio chako...
View attachment 1784988
Ibilisi asimamishwe kazi watu wasifurahie ? Hata Kama mfumo unashida it's one step forward and a lesson to others .Mtu mwenye akili timamu hawezi kufurahi kwa kusimamishwa kazi Sabaya..
Tatizo siyo Sabaya, tatizo ni mfumo mbovu kabisa wa namna viongozi kuanzia ngazi ya kijiji hadi taifa (mawaziri) wanavyopatikana..teuzi nyingi za viongozi zinapata watu ambao si viongozi!
Mnafurahi Sabaya kukaa pembeni, msishangae mkijaletewa kiongozi mbaya zaidi ya Sabaya..subirini mtaona!
Kama unamkubali sana huyu jambazi Sabaya muite akuongozee Familia yako..nashauri Sabaya aandike documentary yake kuhusu hili