Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

story naielewa kwamba kenway ni babu yake connor.
mi mision za mameli ndo naonaga usenge hadi nimelifuta.. kuna mision nilikwama alimtail kamanda mmoja ikafika sehemu ikabidi amfukuze kwa miguu. basii hapo pamenisumbua hadi leo sijkavuka hiyo mision.
Me nime sync Asilimia 37 mpaka sasa nakaribia kuimaliza
 
Kwangu katika games kali ni call of duty hasa black ops 1 wakina mason, woods victor reznov acha kabisa jamaa wanajua sana
 
Noma sana.....kuna ile mission ya menendez ilikua noma...na kweny black ops 2 kuna mwana harper alkua anajua sana.

Woods mtu mbaya...yan cod za zaman zilkua poa..saiz cod hakuna kitu

Kweli kabisa but naona wazungu kuna ujumbe wanataka dunia ijue maana technology inayotumika humo siyo mchezo mfano black ops 2 kuna kumwokoa president wa USA ambaye ni mwanamke, pengine miaka inayo kuja mwanamke anaweza kuja kuongoza taifa la marekani.
 
bado sijaanza rasmi kucheza cod ops
Cod black ops ninoma kuna sehem wakina mason wanatumwa cuba wakamuue castro kinachotokea humo ni balaa, bila kusahau gereza la vorkuta na kichaa victor reznov akiwajaza morali wafungwa wenzake kutoroka We will be free or die trying. dah! Bonge la game
 
nawaona mkianzaga maisha mnanunua subaru,uhalisia ukikushinda unapaki.
 
Cod black ops ninoma kuna sehem wakina mason wanatumwa cuba wakamuue castro kinachotokea humo ni balaa, bila kusahau gereza la vorkuta na kichaa victor reznov akiwajaza morali wafungwa wenzake kutoroka We will be free or die trying. dah! Bonge la game
walifanikiwa kumuua castro
 
Tafuteni game inaitwa the Witcher 3 kuna jamaa alikua anacheza ni game moja taamu saana ina mission nzur mno za kusisimua
 
Back
Top Bottom