Overdose ya diamond vs single again harmonize NGOMA IPI KALI?

DungaMawe

JF-Expert Member
Jul 31, 2022
1,461
4,409
Kwa upande wangu kwa mwaka 2023 hizi ndio nimeona ndio ngoma kali kutoka kwa hawa wasanii wakubwa nchini.

Single again ya konde boy ilitoka mwanzoni mwa mwaka huu, na niseme hii ndio ngoma kali kutoka kwa konde aliyomkimbiza nayo mondi, kuanzia alivyo itoa yeye mwenyewe na alikuja kuua zaidi alivyotoa remix na ruger. Hakika apa ata mashabiki wa mond waliuelewa huu mziki wenye hazi ya nyota tano.

Kwa upande wa mondi kipindi harmonize akitamba yeye alikua anaimba mziki wa fujo na kupiga mapiano ya maudhui hata hayana mpangilio (yani kwa upande wangu mpaka kama nikaanza kumkataa) lakini tulipo kuja kufika robo ya mwisho wa mwaka mond akaachia kichupa cha overdose.

Niwe mkweli hapa mondi alitoa ngoma yenye hazi ya kimataifa na kwa mtazamo wangu kama atapata remix na msaa mambele hakika litakua bonge la hit.

Na kwa ngoma zote wanalia kuteswa na mapenzi. Kwa wadau wa mziki ni ipi unaona ni ngoma kali kwa mwaka 2023.
 
Kwani ule tuzikwe wote sijui tuzeeke wote umetoka lini.

Halafu kuna ile msalaba. Nazo zimetoka mwaka huu ama? Kama ndio basi hizo ndio bora zaidi..

Aisee hizi NGOMA mjomba NCHUMALI alituliza kichwa huenda mwaka mzima hui, ngoma zoote alizotoa bwana mondi ukajumlisha zoote kwa mpigo bado hizi ngoma ni bora zaidi..

Yani hizo ngoma kwa mbaali ndio unaweza kuweka utu ya Ali KIBAkuli.
 
Dah apo umesema kweli ngoma ya wote, sema pia mond kwenye overdose alitulia sana.
 
Kwa upande wangu Shu ndo ngoma Kali ya mwaka...that's y imempush mondi kupata tuzo pale mjini MTV

Konde ngoma yake ni ya kawaida sana .... that's y Haina impact yeyote kimataifa
..........
 
Kwa upande wangu Shu ndo ngoma Kali ya mwaka...that's y imempush mondi kupata tuzo pale mjini MTV

Konde ngoma yake ni ya kawaida sana .... that's y Haina impact yeyote kimataifa
..........
Kwamba single again remix, wote na nitaubeba ni ngoma za kuzibeza kwa kua hazijampa tuzo konde. Kweli mkuu, unauelewa mziki mzuri kwa mtizamo upi?
 
Back
Top Bottom