Video clip ya nguvu hii hapa

Video clip ya nguvu hii hapa

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,320
Reaction score
18,599
Poleeeeee
Najua utavurugwa baada ya kuiangalia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"nitapambana na ufisadi kwa nguvu zangu zote"
..ni kweli alipokuwa Mwanza aliagiza mamlaka kufuatilia waliofilisi mali za Nyanza na wampe ripoti haraka ili alale nao mbele. NOTE: hakuna uhakika kama waliofilisi Nyanza ndio wameuziwa UDA!
 
Hahaha!!! Hapo kwenye maslahi ya wafanyakazi na kodi ndogondogo.. Sijui mkuu haoni aibu akiiangalia
 
alikuwa sawa na yupo sawa tujaribu kusubiri tuone
 
Nitaboresha Ajira Duh Watu Awamuogopi Mungu Jamani Sijui Mpaka Leo Ametoa Ajira Ngapi.
 
Poleeeeee
Najua utavurugwa baada ya kuiangalia[emoji23] [emoji23] [emoji23]


Kooote kaongea kisukuma sjui kipare ila hapo pa "ntaongeza ajira na kuondoa kodi zisizo za lazima" hapo ndipo kaongea kiswahili.
 
Imekamilika, Sauti pia inapatikana.

Haina Mushkel
 
Back
Top Bottom