Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 8,942
- 28,199
Dar hamna mapenzi 😂ukiwa serious utakufa na pressureNyie ndio mnaokula mashemeji
Dar hamna mapenzi 😂ukiwa serious utakufa na pressureNyie ndio mnaokula mashemeji
Mapenzi yapo ishu ni uaminifuDar hamna mapenzi 😂ukiwa serious utakufa na pressure
Mimi nimeona Kama wote wawili hawakua na umakiniwee huoni huyo aliekuwa anakatizaa katikatii ndo falaa??
Mi nlikuwa mwaminifu sana, ila haya maisha yaonageni tu mi saiv hata nkimkuta mtu anampiga miti manzi yangu mi namwacha amalizeMapenzi yapo ishu ni uaminifu
Si ni yake mkuu kiroho safi ila kuwa mwaminifu ni faida kwako.Mi nlikuwa mwaminifu sana, ila haya maisha yaonageni tu mi saiv hata nkimkuta mtu anampiga miti manzi yangu mi namwacha amalize
Mbona kawaida hiyo ,mimi nishawahi kushiri kuzoa kabisa yaani mtu kafariki zile nyama tunazoa kama taka zimesagika kabisa ,kichwa hakifai aligongwa na subaru alikuwa bodaboda.Sijui kwa nini nimeangalia hii video. Job true true ungetoa tahadhari kwanza.
Hyo video inafungukaje jmn
Tafuta hela mkuu, usiwe mwaminifu bila helaMi nlikuwa mwaminifu sana, ila haya maisha yaonageni tu mi saiv hata nkimkuta mtu anampiga miti manzi yangu mi namwacha amalize
Ngoja yakukuteSi ni yake mkuu kiroho safi ila kuwa mwaminifu ni faida kwako.
We kuwa mwaminifu kwako labda kama hujanielewaNgoja yakukute
Hapa nazungumzia route zenye daladala. Hawa wanaamua kuacha daladala na kupanda bodaboda. BTW watu wengi hawajui elf2 3 za bodaboda siku nzima usipoangalia unazidi gharama hata ya mafuta ya gari.Ni shida za usafiri na umasikini. Unafikiri wanapenda kusafiri hivyo. Hata wewe usingekuwa na pesa si ajabu ungefanya hivyo hivyo.
Usikufuru!
Wote akili visoda kwa sababu haiwezekani mtu mwenye akili timamu umekaa kwenye pikipiki na unaona ana misbehave kupita kiasi ukakaa kimya.Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Kwan nani aliyekuambia kwamba ukivaa suti basi ndio una akili?Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Muache ajishebedue. Kwanza asipopanda ataturahisishia sisi kutochelewa.Boda atapanda tu labda kama hayupo bongo na asipopanda atailipa imuongoze kufika ugenini.
Wanawake na bodaboda huwaambii kitu. Hivi zamani mbona tuliishi bila bodaboda? Kwanza zimefanya watu wengi hasa wanawake kuwa legelege kwa sababu ya kutumia baodaboda sehemu ambazo zamani walikuwa wanatembea kwa miguu.Rafiki yangu kampoteza mtoto wake katoka kumaliza masters degree tu, ni binti kapanda bodaboda kaingizwa uvunguni kwa lori. Wanawake ndio wanapenda sana bodaboda hawaelewi kabisa ukiwaambia.