Video: Bodaboda asababisha Ajali

wee huoni huyo aliekuwa anakatizaa katikatii ndo falaa??
Mimi nimeona Kama wote wawili hawakua na umakini
Huyo aliekua anaingia hakuangalia mbele as if yupo Europe, wakati yupo Africa Tena Tanzania Arusha
 
Jesus!! Na hata helmet hawavai 🙆🙆🙆
 
Hawa madogo wanatabia za kijinga sana.

Hawajastaarabika wamejaa ulimbukeni tu.
 
Ni shida za usafiri na umasikini. Unafikiri wanapenda kusafiri hivyo. Hata wewe usingekuwa na pesa si ajabu ungefanya hivyo hivyo.

Usikufuru!
Hapa nazungumzia route zenye daladala. Hawa wanaamua kuacha daladala na kupanda bodaboda. BTW watu wengi hawajui elf2 3 za bodaboda siku nzima usipoangalia unazidi gharama hata ya mafuta ya gari.
Na wanaocha gari wanarukia boda kisa foleni ni masikini?
Mimi sina pesa ila sipandi bodaboda napanda daladala,mwendokasi au nikowa vizuri Bajaj.
 
Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Wote akili visoda kwa sababu haiwezekani mtu mwenye akili timamu umekaa kwenye pikipiki na unaona ana misbehave kupita kiasi ukakaa kimya.
 
Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Kwan nani aliyekuambia kwamba ukivaa suti basi ndio una akili?
 
Boda atapanda tu labda kama hayupo bongo na asipopanda atailipa imuongoze kufika ugenini.
Muache ajishebedue. Kwanza asipopanda ataturahisishia sisi kutochelewa.
Hatopanda ila asipate ajali akafa. Na siku ya kufa atauliwa kwa mpini. Dadeki
 
Ajali kama hizi zinatakiwa ziwe zinatokea 1000 kwa siku nchi nzima, ili akiliziwakae sawa.
 
Rafiki yangu kampoteza mtoto wake katoka kumaliza masters degree tu, ni binti kapanda bodaboda kaingizwa uvunguni kwa lori. Wanawake ndio wanapenda sana bodaboda hawaelewi kabisa ukiwaambia.
Wanawake na bodaboda huwaambii kitu. Hivi zamani mbona tuliishi bila bodaboda? Kwanza zimefanya watu wengi hasa wanawake kuwa legelege kwa sababu ya kutumia baodaboda sehemu ambazo zamani walikuwa wanatembea kwa miguu.
 
Back
Top Bottom