Nilidhani Nairobi... Why wampeleke Kenya kijijiniKijana Mungu anazidi kukuona tu, ona mapokezi aliyopata nchi jirani Kenya naona anafuata nyayo za almas
Huu wimbo nimeuangalia mara mbili mbili ameutendea haki na sauti ameitoa kama inavyotakiwa kama ingekua ni American Got Talent basi ningembonyezea GOLDEN BUZZER. Appreciate you Kijana